Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sifa moja ya watu maskini ni kupenda ngono. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜²View attachment 3011288
Tanzania ni kubwa karibu mara mbili ya nchi ya Kenya ambapo ukubwa wake ni 945,078 kmΒ² while kenya is 582,646 kmΒ²
Halafu makadirio ya population Tz ni 69,294,772 while makadirio ya watu hapo kenya ni 56,203,030

Ni taifa gani lenye maskini wazinzi wengi hapo.? 🀣🀣🀣 kanchi kaduchu ila kana watu wengi balaa
 
How is 945,078 twice 582,646? Uko sure ulikanyaga any maths class?
 
Kijana, Suala hapa ni birth rate na population growth.
Ukidadisi hayo mambo mawili utagundua mitanzania inazaana Kama mapanya buku, watoto 5 kila familia πŸ™ŒπŸ˜…
Musipochunga mtakuwa Kama Ethiopia ama Nigeria
 
Nchi nzima ina miaka 60 haina hata CAF approved stadium kwa aibu na bado kushinda hamuweziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti USA ya Africa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Lakini bado tuko juu yenu ama hio hutaki πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…