Malobabrian
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 254
- 300
Sasa mbona huko unyangβauni βflying toiletsβ zimezagaa?π
πππ€£Kunyamavi mdomoni na uhalisia tofauti
Kaulize upumbavu wako hilo swali si mimi.. Umeona flying toilets wapi huku kama si kuambiwaSasa mbona huko unyangβauni βflying toiletsβ zimezagaa?
Hawa vilaza hawana aibu,hali ya naikundu kama ndo dar ingekua vile huu uzi ungenipitia mbali sanaπππ€£
Kama walivyofanya ktk uwanja wao wa Talanta π€£π€£π€£Huko kwao mkandarasi kakabidhiwa site, kafanya clearance then kaanza kuchimbua chimbua siku hiyo hiyo. π€£π€£π€£
Mbona unakasirika, hupendi kusikia ukweli sio?πKaulize upumbavu wako hilo swali si mimi.. Umeona flying toilets wapi huku kama si kuambiwa
Wasiilaumu kaniki weusi ndio rangi yake πππ