The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,997
Huwa najiuliza hilo nundu la nini na sipati jibu, hili dege la mkoloni kama wataendelea kulitumia ipo siku.........Ndege yenu Inachekesha kweli, sasa hii nundu ni ya nini? Ndio maana ilipigwa marufuku kwenye anga la marekani mpaka ikabidi muombe msaada Uarabuni 😁😁😁
View attachment 3005418
Bei ya kiwanja hapo tayari ime-double..
Wewe kilaza unaona nini hapo?Mkiitwa team 1 ndio mmeshinda? 😁😁😁 Vilaza mnazidi kujionesha
And what will we say about this one?Stadium ya 21st century inaonekana kama ya stone age 🚮
Bongolala huoni wamevishwa medali kwa shingo..Mkiitwa team 1 ndio mmeshinda? 😁😁😁 Vilaza mnazidi kujionesha
Azam ni CAF approved stadium 😁Wakimalizia ujenzi itachukua 40,000 people. Tupe habari ya AZAM!?
Long term investment inayohitaji hela nyingi inahitaji lease ya miaka mingi angalau na mwekezaji aweze kupata faida pia.Naomba kuuliza. Why wanasaini kwa miaka 30?
Kwahivyo CAF ndo kawatuma mujenge vibanda vya mbuzi😃Azam ni CAF approved stadium 😁
Elewa kuwa ni CAF approved stadium. Nyayo and Kisirani are not. If you have further queries or grievances direct them to CAF hapa sio platform sahihi 😁Kwahivyo CAF ndo kawatuma mujenge vibanda vya mbuzi😃
Rushwa imewezesha haya!Naomba kuuliza. Why wanasaini kwa miaka 30?
Hii iko sawa?Long term investment inayohitaji hela nyingi inahitaji lease ya miaka mingi angalau na mwekezaji aweze kupata faida pia.
Kwahivyo CAF wanaruhusu pia vibanda vya mbuzi kuchezewa Mpira, afrika tunasafari ndefu SanaElewa kuwa ni CAF approved stadium. Nyayo and Kisirani are not. If you have further queries or grievances direct them to CAF hapa sio platform sahihi 😁
Unalazimisha tufanane mzee. Upo nyuma upo nyuma tu. Don't force things.Kwahivyo CAF wanaruhusu pia vibanda vya mbuzi kuchezewa Mpira, afrika tunasafari ndefu Sana
.....
Yaani wewe unaona Kenya inaweza taka kufanana na Tanzania!? An LDC!?Unalazimisha tufanane mzee. Upo nyuma upo nyuma tu. Don't force things.