😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bungoma now has a stadium that on completion will be among the good Stadiums around
View attachment 3005298
Mnara pekee ni karibia na nusu urefu wa jengo 😂
Inakuuma nini wewe.Kwahivyo wewe unajua zaidi ya Ruto,
saivi dreamliner limepaki South Korea likichota hasara
Alafu baadae mtamlaumu CAG..
Mkiitwa team 1 ndio mmeshinda? 😁😁😁 Vilaza mnazidi kujioneshaNimecheka Sana 😃😃😃View attachment 3004963
Collapsing buildings are also going down at the same trend 😁😁😁WTF!!! People, what is really happening in Nairobi. There is this trend of 20+ floor towers under construction literally everywhere!!! 🤔🤔🤔
View attachment 3005094View attachment 3005095View attachment 3005096
Ndege yenu Inachekesha kweli, sasa hii nundu ni ya nini? Ndio maana ilipigwa marufuku kwenye anga la marekani mpaka ikabidi muombe msaada Uarabuni 😁😁😁Kenya is the USA of Africa.
View attachment 3005103
Stadium ya 21st century inaonekana kama ya stone age 🚮Kanduyi Stadium Bungoma
View attachment 3005105
Wakimalizia ujenzi itachukua 40,000 people. Tupe habari ya AZAM!?Stadium ya 21st century inaonekana kama ya stone age 🚮
Naomba kuuliza. Why wanasaini kwa miaka 30?
Wanaboa sana hawajui kurusha matangazo wajinga hawa, walitakiwa waoneshe uwanja mzima hizo sauti tuwe tunazisikia tu, poor coverage.
Low standard ni kawaida yao, si umeona hata maviwanja yao wanayojenga mafundi wa kikenya, unaona kabisa liuwanja kuna siku lazima litauwa watu mana majukwaa yamesogea mbele kama pua ya nyani.This is too much, yaani haipiti mwezi dude linadondoka . SMH
Wewe hata ukiambiwa uolewe Amerika ili uitwe mmarekani na ukaishi huko milele utakubali, sio kwa shobo hizo aisee, too much.Woow … Kama rural America !…that’s incredible in the middle ya Ushago… just make sure to finish landscaping work..