Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,148
- 33,026
Huyu nyang'au anamjua Ruto vizuri😎😎Kwahivyo wewe unajua zaidi ya Ruto,
saivi dreamliner limepaki South Korea likichota hasara
Alafu baadae mtamlaumu CAG..
Nakuambia ulete mradi kama huo mwanza alafu unakuja na kelele. Bwege kabisa!Mwanza kuna miradi ya gharama kubwa kuliko miradi yote inayofanyika East and central Africa.
Na sababu hizo ni zipi?Kuna sababu za msingi kurudisha hii route
Muhuni mmoja Mzimbabwe aliyejipatia hela kwa tenda za rushwa. Makamba anawaleta wahuni wake. Mwana anadai eti kuwekeza kwenye umeme wa kisasa wakati net worth yake ni less than $100M.Nani huyu?
I saw it on a Facebook page leo hadi nikashangaa
This is the 3rd one I've seen. 😀 VileKenyans wanapenda Prado, hii itakua Kenya uniform very soon just like the previous models.I saw it on a Facebook page leo hadi nikashangaa
This is too much, yaani haipiti mwezi dude linadondoka . SMHHaya manyang'au hata sijui lini yatajifunza. Yamekalia kumsujudu Biden tu huku majengo yanaporomoka😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=Ea1cVSPQE7s
Ushawi ona off-roading inafanyika kwenye barabara ya lami? Sema tu Kuna vitu sio za kawaida kwenu, off-roading being one of them badala ya kutoa povu za kijinga hapaCan't you see hiyo ni typo.? 🤣🤣🤣 picha aliyopost yuke mnuka mavi mwenzio ni barabara ya matope, hakuna vya off-roading wala ushuzi. 🤣🤣🤣
Utoto. Akili hizi from Mama Ngina Education.Ushamba gani hapo wakati nyinyi mnazindua lift?View attachment 3005141View attachment 3005142View attachment 3005144View attachment 3005145
Woow … Kama rural America !…that’s incredible in the middle ya Ushago… just make sure to finish landscaping work..