The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwasababu wanafanana pia.Nadhani Surname tu zinafanana. Lakini na yeye katokea Kigoma. Anaitwa Enekia Kasonga Lunyamila
Tunayemjua mchezaji machachali wa Yanga ni Edibilly Lunyamila
Una reason kama ng'ombe 🐄 🐮Kwa hivyo leo litakuja bure JNIA,
alafu kisha lirudi bure tena tarehe 5 South Korea kumchukua. Gharama ni hizo hizo..
Likowapi lile Gulf Stream
😅😅😅😅😅😅
Na ww unaamini hvo 😄😄😄😄😄😄😄Ruto amefichua kwamba Kenya ni nchi kubwa yenye marafiki ambao walimpa hio ndege kwa 10m. Alisema hio jana katika mkutano wa kuombea Nchi ....View attachment 3004792
Una reason kama ng'ombe 🐄 🐮
Si Bora Huyo katumia ndege ya Tanzania kuliko Yule kachoma 200m ksh yote kwenda Dubai 😂😂😂😂😂😂😂😂Kwa hivyo leo litakuja bure JNIA,
alafu kisha lirudi bure tena tarehe 5 South Korea kumchukua. Gharama ni hizo hizo..
Likowapi lile Gulf Stream
😅😅😅😅😅😅
Kwa hivyo leo litakuja bure JNIA,
alafu kisha lirudi bure tena tarehe 5 South Korea kumchukua. Gharama ni hizo hizo..
Likowapi lile Gulf Stream
😅😅😅😅😅😅
I think from now on the kenya police will acquire new weapons in terms of rifles and good protective gears. I heard they were gonna have bodycams soon..
Kwahivyo wewe unajua zaidi ya Ruto,Si Bora Huyo katumia ndege ya Tanzania kuliko Yule kachoma 200m ksh yote kwenda Dubai 😂😂😂😂😂😂😂😂