Aisee umepiga kwenye busha π€£π€£π€£Hakuna kampuni iko chini ya Toyota inaitwa CFAO unless uwe umechanganyikiwa hata AVA Sio kampuni ya Toyota na zote sio factory ni just assembly plant za watu binafsi Kwanza Hilo weka akilini πππππππ
CFAO pia ni multi brand car dealership usichanganye sukari na chumvi, chumvi ni nyeupe haimaanishi ni sukari nyeupe kondoo wewe, huwez kunifundisha chochote kwenye magari, etc
Hakuna assembly plant ya Toyota Kenya wala Tanzania na mungekua nayo kweli Khushi motors wasingekua Wana import gari kutoka Japan, kakojoe ulale
Hapo ndio ime suswa π€£π€£π€£Nani alisema ?? ππππ
View: https://x.com/JudeOwuor/status/1321213492549033984?t=gX3LjD6Gcfi3wzHXVpt-Mw&s=19
Huyo hakuna kitu huwa anajua kwa magari. If you thought so then you are mistakenπEnyewe pumbavu hafundishiki. π€£ π€£ π€£ Hakuna car enthusiast mwenye hajui Toyota acquired CFAO. Unareason kama pimbi ndio kwa maana unadhani magari zote za Toyota zinatengenezwa eneo moja kama peremende. π€£π€£π€£ Leo nayo, umejiaibisha. π€£π€£π€£ Eti kwanini tunaimport gari na tukona assembly. π€£π€£π€£π€£
AFCON 2027 ni moto.Miradi ya BRT inayoendelea kujengwa kwenye Bajeti ya 2024/2025
1. BRT 3 ambao unahusisha barabara ya Nyerere kuanzia makutano ya barabara ya Kivukoni na Mtaa wa Azikiwe hadi Gongolamboto (km 23.33).2. BRT 4 (km 30.12) utakaohusisha barabara ya Ali Hassan Mwinyi-Morocco-Mwenge -Tegeta; na kipande cha Mwenge-Ubungo.3. BRT 5 (km 27.6) ambao unahusisha barabara ya Mandela kuanzia makutano ya Ubungo-Bandari, makutano ya Mandela/Tabata-Tabata Segerea na Tabata-Kigogo.
Bado tunajadilia na Nyang'au tu?
Hili daraja lingeunganishwa na lile la surrender ingependeza sanaTANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI
View attachment 3002950
Daraja hilo litakalojengwa lina urefu wa mita 390 pamoja na Barabara unganishi zenye urefu wa mita 710 na kina cha mita 15.5 kutoka usawa wa bahari.
Daraja hili litakapokamilika litatatua changamoto ya kujaa kwa maji katika barabara ya Dar es Salaam-Morogoro eneo la Jangwani wakati wa mvua na kusababisha kufungwa kwa barabara hiyo mara kwa mara.β, ameongeza Bashungwa.
Kunyaland ile ndio misosi ya maana hadi ya kuja kuringishiaHuyo anajiaibisha sana kutuletea misosi hapa na 1500 anasema haiwezekani. Hajui bongo huyo.
Sio tena CFAO πππππ
Mbona haukuitwa Toyota assembly plant na kwann AVA ?? Ni kwa sababu wameomba kibali sio kwamba inamilikiwa na Toyota no way
π€£ π€£ π€£ π€£ WoiiiiiiSio tena CFAO πππππ
Narudia kukwambia AVA is not a Toyota assembly plant, wala haimilikiwi na Toyota wanachofanya wanaomba kibali from manufacturer ndio Wana assemble, lakini usinambie gari zote za Toyota zinatoka AVA no way, na gari nyingi za Kenya Aina ya Toyota zinakua imported from either Japan or Malaysia etc
Nenda kawaulize Khushi motors 100% of their cars wanatoa Japan na ukitaka ushahidi nitakuletea hapa, na Khushi motors ni moja ya kampuni kubwa Sana Kenya kwa uuzaji wa magari πππππππ
Vipi roundabout with rough roads!?π° Morogoro πΉπΏπΉπΏπΉπΏ
View attachment 3002973View attachment 3002974View attachment 3002975View attachment 3002976
Hichi ndio mm nazungumzia south Africa Toyota wenyewe wanamiliki assembly plant tofaut na Kenya wamempa kibali AVA, na AVA Ni private company sio Mali ya Toyota hii ndio kitu mm nazungumzia hapaπππ
Toyota wenyewe wanamiliki plant ya South Africa that's y hakuna import ya Toyota cars to south Africa ni kwasababu Wana official plant Yao wenyewe na wanazalisha magari Yao wenyewe Toyota ππππππππ€£ π€£ π€£ π€£ Woiiiiii
Nyef nyef π€£π€£π€£ Naona bado unaumia. π€£π€£π€£Mbona haukuitwa Toyota assembly plant na kwann AVA ?? Ni kwa sababu wameomba kibali sio kwamba inamilikiwa na Toyota no way
AVA ni kampuni ya wahindi singasinga kama sijakosea ππππππ
Unajifanya kichwa ngumu haya nikuulize kwann munaangiza magari ya Toyota kutoka Japan yet muna AVA hapo??πππ 98% ya Toyota munaangiza kutoka Japan na hili ntakuthibitishia kama unataka ushahidi
kivipi? wavunje upande waweke junction na taa? Au?Hili daraja lingeunganishwa na lile la surrender ingependeza sana