Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

the so called "own mansions " is a complete joke
 
Houthi wana projectiles zinazoweza kufika EA nyie ingieni kichwa kichwa to serve American interests. Matatizo mnayo mengi ya ku solve masuala ya Houthi waachieni hao wababe wa dunia.
Wameshindwa kumaliza bandits wanaenda kuhangaika. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huwa mnatamani tuwaazime vitu sana. Mlilia mpira tuchezee kwenu sasa mnataka ndege tuazime kwenu wakati Rais wenu mwenyewe hata hicho kidege hakitumii. Heri si tutumie hii yetu kuliko hicho kibusiness plane chenu?
Huwa wanatamani tu massage ego zao lakini wapi. Tushawashtukia, mechi afadhali tucheze libya lakini si makwapa πŸ˜‚
 
Hii ndio Konza tunayowekewa humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Teargas unavyoipamba na maneno unaweza dhani lidude likubwa eti hii city

ichoboy01 nikumbushe render πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Houthi wana projectiles zinazoweza kufika EA nyie ingieni kichwa kichwa to serve American interests. Matatizo mnayo mengi ya ku solve masuala ya Houthi waachieni hao wababe wa dunia.
Achana nao hao, waswahili husema, mwana kuyatafuta, mwana kuyapata!! Wale wezi wa mbuzi wanawashinda, watamuweza myemeni 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…