Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duuuu ndo maana wanaangusha maghorofa
 
Now what is the fun?
When I was 4 years old, my father used to put me on his lap to play with the wheel of the car and I used to be very excited. It is an undisputed question that, in Kenya, your leaders are no different from kindergarten children.
Yani hawa jamaa ni kama wamechanganyikiwa totally 🤣🤣🤣🤣

Yani hujui ni mkenya gani ambae ni mzima kichwani mm naona wote kama taa za check engine zinawaka 🤣🤣🤣
 
Politics and Religion ni kama chanda na pete.
 
Yani hawa jamaa ni kama wamechanganyikiwa totally 🤣🤣🤣🤣

Yani hujui ni mkenya gani ambae ni mzima kichwani mm naona wote kama taa za check engine zinawaka 🤣🤣🤣
Hii picha ni udhalilishaji, lakini kwakua ni viumbe vilivyo kulia maisha ya shida na unyanyasaji mkubwa wa chakula, kujipendekeza na kudhalilika ni jambo lilsilo la aibu kwao.

Very useless viumbe!
 
Papers zao zinaitwa A for everybody 😁😁 kwanza questioning grammar yao inampeleka mwanafunzi moja kwa moja kwenye jibu, Tanzania hiyo grammar inayotumika kuuliza swali ni mtihani peke yake unaojitegemea achana na swali lenyewe, codes kila neno🤣
 
So, Jordan topic imefungwa?
You are illiterate.. you can’t comprehend simple statements… You implied Israel is weak militarily because they are being crushed every day by Hamas… so I asked which Hamas is that?… are you getting your news from the Taliban TV ?… 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…