Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

what are we comparing over here ....
Planning
Real estate
Think tanks
Multinational companies
Literacy levels
Infrastructure
Culture
fashion
civility etc
Baada ya kuona umeshindwa unaleta plan zako sio?[emoji23][emoji23]
Mnaculture gani nyie
 
ni nini exactly mnatishia nayo mombasa if I may ask considering 85% of your city is covered in informal dwellings
Mji umeshaanza kupangwa upya iyo 85% Ni kutoka Magazeti yenu haters tuko wima kuiboresha Dar. ..
 
dar ina tower mbili tu
 
unajua hauna kazi ya kufanya..job yako ni kutu engage ..my friend tutakusunda kwa kona
 
Montave has already upgraded its towers to 40/30/22 floors.
huo ni msumari moto kwenye donda ndugu LA watanzania.
 
In habitat wameweka hq apo kujifunza mnawezaje kuishi kibera wote kwenye mji wenye sqm zakutosha tu
KweliHamkuitwa Nyang'au kimakosa
 
Montave has already upgraded its towers to 40/30/22 floors.
huo ni msumari moto kwenye donda ndugu LA watanzania.
Asante kwa rendersπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Itakuwaje moto wakat hakuna sehemu munajenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…