Picha za phase 1&2 na sio tafadhali.mpaka sasa hatujaanza kutumia mkopo na tushatoa pesa ya phase mbili kutoka mfukoni 3.16 b usd😀😀😀
tanzania ianjenga reli mpaka rwanda and burundi kwa 7 b usd mpaka sasa 3.16 tushatoa mfukoni kwetu na uelewe mpaka sasa hatujachukua mkopo sehemu yoyote
kenya inajenga kwa 13 b😀😀😀😀😀😀😀 only phase one mushakopa 3.8 b usd bao phase 2n na muna deni tayar ya 60% so chukua 13 - 3.8 = 9.2 ongeza kwa deni lenu ya 60% jibu utalipata
pesa zote zilikopwa hadi ifike uganda phase 2 inaelekea naivasha tayari tunnel ya 10km ngong imeisha ..phase 2 by june itakua done..nyinyi ata centimetre badompaka sasa hatujaanza kutumia mkopo na tushatoa pesa ya phase mbili kutoka mfukoni 3.16 b usd😀😀😀
tanzania ianjenga reli mpaka rwanda and burundi kwa 7 b usd mpaka sasa 3.16 tushatoa mfukoni kwetu na uelewe mpaka sasa hatujachukua mkopo sehemu yoyote
kenya inajenga kwa 13 b😀😀😀😀😀😀😀 only phase one mushakopa 3.8 b usd bao phase 2n na muna deni tayar ya 60% so chukua 13 - 3.8 = 9.2 ongeza kwa deni lenu ya 60% jibu utalipata
aliekwambia nani, mkopo hua unaenda phase kwa phase usifkiri wanakupa pesa yote😀😀😀😀😀😀😀pesa zote zilikopwa hadi ifike uganda phase 2 inaelekea naivasha tayari tunnel ya 10km ngong imeisha ..phase 2 by june itakua done..nyinyi ata centimetre bado
Tupo kibera tunafanya upgrades kabla hatujahamia Mathare...hizi ndio mahali maarufu Nairobi nashangaa tumekaa apa tunabishana na home of Africa's biggest slumsbado mnabishana na jiji la majengo mawili? jiji ambalo limejengeka 2015
haha my friend lala haujui any deni iko included kwa 54% nyinyi bado centimetre na mna 40% before railway we had 30%.aliekwambia nani, mkopo hua unaenda phase kwa phase usifkiri wanakupa pesa yote😀😀😀😀😀😀😀
pesa za mkopo wa namna hio unakwenda phase kwa phase kwa sababu wao ndio wanaojenga na wao ndio wanatoa pesa
AIBU, Jiji lililojengeka 2015 likafunika jiji lililoanza kujitututumua toka 1960's, Kama mimi nisingeonyesha aibu hii. Yaani hadi mmalize vitower vyenu mnavyofukua mashimo sasa hivi , bado mtakua mnatembelea kichwa kwa idadi ya High rises (zenye hadhi) 😀😀😀😀bado mnabishana na jiji la majengo mawili? jiji ambalo limejengeka 2015
PPF TOWER 35flr,14 flr, 9flrAIBU, Jiji lililojengeka 2015 likafunika jiji lililoanza kujitututumua toka 1960's, Kama mimi nisingeonyesha aibu hii. Yaani hadi mmalize vitower vyenu mnavyofukua mashimo sasa hivi , bado mtakua mnatembelea kichwa kwa idadi ya High rises (zenye hadhi) 😀😀😀😀
usijipe matumaini imf sio wajinga kukwambieni deni lenu limefika 60% na bado munataka mkopo ndio maana wakakwambieni mumevuka red line so usije kuota kua sgr yenu mushapewa pesa yote never 😀😀😀haha my friend lala haujui any deni iko included kwa 54% nyinyi bado centimetre na mna 40% before railway we had 30%.
wanachimba mashimo toka 2014 😀😀😀😀😀😀😀😀 alaf wanakwambia wanajengaAIBU, Jiji lililojengeka 2015 likafunika jiji lililoanza kujitututumua toka 1960's, Kama mimi nisingeonyesha aibu hii. Yaani hadi mmalize vitower vyenu mnavyofukua mashimo sasa hivi , bado mtakua mnatembelea kichwa kwa idadi ya High rises (zenye hadhi) 😀😀😀😀
Wenyewe wanajua pspf tu, kuna kitu 40fl kinakuja pale karibu na HALOTEL Morroco. na hivi ile hazina tower yao umepumuliwa hadi 15 fl 😀😀😀😀😀 yaani majengo yao sasa hivi ni marefu kwenda chini.PPF TOWER 35flr,14 flr, 9flr
MNF TOWER 30flr ×2
MZIZIMA TOWER 35flr,33flr.
Nyumba zote hizi zinaisha 2018 bado wako na concrete mixer site.
"majengo yao marefu kwenda chini"...hii swahili metaphor sidhani kama wakenya wameielewa.ipo deep sana.Wenyewe wanajua pspf tu, kuna kitu 40fl kinakuja pale karibu na HALOTEL Morroco. na hivi ile hazina tower yao umepumuliwa hadi 15 fl 😀😀😀😀😀 yaani majengo yao sasa hivi ni marefu kwenda chini.
PPF TOWER 35flr,14 flr, 9flr
MNF TOWER 30flr ×2
MZIZIMA TOWER 35flr,33flr.
Nyumba zote hizi zinaisha 2018 bado wako na concrete mixer site.
mashallah..[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]PPF TOWER 35flr,14 flr, 9flr
PPF HQ Sam Nujoma Road by indaressalaam, on Flickr
MNF TOWER 30flr ×2
Images from the Peace Ark Ship in Dar es salaam by indaressalaam, on Flickr
Images from the Peace Ark Ship in Dar es salaam by indaressalaam, on Flickr
MZIZIMA TOWER 35flr,33flr.
From Golden Tulip Downtown by indaressalaam, on Flickr
From Golden Tulip Downtown by indaressalaam, on Flickr
oya ndinda jengo gani hilo 40fl, hazina tower imetoka 40 mpaka 15 noma sana😀😀😀Wenyewe wanajua pspf tu, kuna kitu 40fl kinakuja pale karibu na HALOTEL Morroco. na hivi ile hazina tower yao umepumuliwa hadi 15 fl 😀😀😀😀😀 yaani majengo yao sasa hivi ni marefu kwenda chini.
what are we comparing over here ....PPF TOWER 35flr,14 flr, 9flr
MNF TOWER 30flr ×2
MZIZIMA TOWER 35flr,33flr.
Nyumba zote hizi zinaisha 2018 bado wako na concrete mixer site.
Kama tunavyoona antena moja kenya kama mkuki wa morani.tunawacheka ukidhani mnatushtua....sisi tunaona tower mbili tu hakuna cha maana
Povu si mahala hapa please.unadhani america haijaikua ldc...acha ukumaaa
afadhali homabaymoshi tanzania
ni nini exactly mnatishia nayo mombasa if I may ask considering 85% of your city is covered in informal dwellingsAIBU, Jiji lililojengeka 2015 likafunika jiji lililoanza kujitututumua toka 1960's, Kama mimi nisingeonyesha aibu hii. Yaani hadi mmalize vitower vyenu mnavyofukua mashimo sasa hivi , bado mtakua mnatembelea kichwa kwa idadi ya High rises (zenye hadhi) 😀😀😀😀
2015,inaenyesha nairobi ya tokea 1970,2025 nitakuwa hapa ktk uzi huu kukukatia vipande ktk dsm vywa kuweka ligi za nairobi.maana dar yote itafurikia nairobi.bado mnabishana na jiji la majengo mawili? jiji ambalo limejengeka 2015