Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
The East African ni gazeti la Afrika mashariki pimbi wewe.π€£π€£π€£π€£ππππ
Tanzania President Samia arrives in China for state visit
President Suluhuβs visit follows an official invitation by Chinese President Xi Jinping.www.theeastafrican.co.ke
Tanzania president Suluhu set for official visit to China next week
Suluhuβs visit to China is expected to focus mostly on agriculture, infrastructure projects and industrialisation among others.www.theeastafrican.co.ke
Sababu huu ndio utakuwa the most modern stadium in East Africa na pia utashikilia joint number 1 in Africa. Una swali lingine?Nikuulize why unatupostia hivi?
Ifi mna viwanja almost 40+ why huu uwe daily dose?
Because there are fewer of us here. Hivi wewe ukaishi Nairobi utaanza kuchokozana na Wabongo wenzako ugenini? Pale twitter, Facebook na social media zengine Wakenya tunatibuana tu hata rais wetu hatumuachi ila tukichokozwa tunakuwa kimoja.Ila mbona unawekaga mihemuko humu?
Sijawahi ona mnatibuana humu like tunavyotibuana.
Kwa hiyo wakenya mmeamua kuiga ujinga wa viongozi wa Tanzania kufasiri ovyo nje huku wakitumia pesa nyingi?unazijua gharama za raisi samia na akina makamba rostamu aziz & co.? na msululu wake wote nje ya nchi? angalau hao wakenya wanaweka hadharani na hata wanajadili β¦
gazeti la Ukunyani!The East African ni gazeti la Afrika mashariki pimbi wewe.
Kwa hiyo wakenya mmeamua kuiga ujinga wa viongozi wa Tanzania kufasiri ovyo nje huku wakitumia pesa nyingi?
Ujinga huo.
But serving the whole EA region hence reporting all East African news. Otherwise hutopata wakenya kwa social media na Kenya specific media wakifuatilia Safari za Samia.gazeti la Ukunyani!
Wewe nae ni punguani na mropokaji,wapi nimesema Waondoke?We acha ujinga unadhani wajeda waondoke kule Congo alafu asumbuliwe mwisho pasikalike Tanzania ikose mizigo ambayo inaongeza pato kwa kupitia bongo port.
Na Mozambique unajua wanasaidia kiasi gani kusini kuwe na utulivu hadi gesi iendelee kuchimbwa, makaa ya mawe, kilimo cha chakula?.
Pia jeshi letu linahitaji modern equipment kama UAV drones maana MRLS zetu nazo zifanye kwa ufanisi tuache kuharibu bombs.
Usalama ni kitu cha kwanza kwa nchi maana ukivurugika ndio hivyo mengine hayaendi.
Ajabu ni kwamba kabla 2003 tanzania ilikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya. Mambo yakaanza kubadilika baada ya Kibaki kuapishwa na mpaka Leo gap inazidi kupanukaKiuhalisia hapo zamani (kabla ya miaka ya 2000) Kenya walikuwa mbali zaidi kimaendeleo kwenye mambo mengi (elimu, afya, uchumi, biashara, kilimo, sanaa, muziki, uigizaji, miundo mbinu, bidhaa, mawasiliano, kipato, malazi, mavazi) kuliko Tanzania, lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, watanzania wamechangamka na kupiga hatua zaidi kuliko Kenya.
Mambo yamebadilika sana.
Hilo la wanasiasa wa Kenya kuanza kulishikia bango suala la matumizi ya ovyo ya pesa kwa viongozi wao katika kusafiri nimelipenda na jambo zuri. Ajabu ni kule kuona mkenya anakuja hapa JF na kusema haoni shida kwenye huo ufujaji kisa viongozi wa Tanzania nao hufanya! It does not make sense at all.angalau hata wanasema na wanajadili fedha raisi wao anazofuja kwa safari, tanzagiza hakuna mtu anayejua chochote hata raisi na msululu wake wanafuja kiasi gani β¦
This is something many Tanzanians seem to forget.Ajabu ni kwamba kabla 2003 tanzania ilikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya. Mambo yakaanza kubadilika baada ya Kibaki kuapishwa na mpaka Leo gap inazidi kupanuka
Waache ufala wachukue dhahabu na almasi kufidia hilo deni, waache mambo ya ujamaa wapuuzi hao.Vita ni hasara sana,hela hizi zingeenda kwenye maendeleo ila ndio hivyo tena hakuna maendeleo bila usalama ππ
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1792859773190230351?t=OpTyHgJtGfuwb18ZvXTA_A&s=19
Kweli aisee,watatumiaje pesa zote hizo Bure? Ujinga wa kina Baba wa Taifa hauna maana zama hizi,eti Waafrika wote ni ndugu,undugu uwepo kwenye shared maslahi.Waache ufala wachukue dhahabu na almasi kufidia hilo deni, waache mambo ya ujamaa wapuuzi hao.
Takwimu zako haziko sahihi sana, na tafsiri ya ukuaji wa uchumi kwa nchi hutofautiana.Ajabu ni kwamba kabla 2003 tanzania ilikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya. Mambo yakaanza kubadilika baada ya Kibaki kuapishwa na mpaka Leo gap inazidi kupanuka
And the reason we over took them in 70's was because of the war they had with Uganda. Hio mambo wanasema eti Kenya zamani ndo ilikua juu kwa sababu ya beberu ni upuuzi wa kiwango cha juu.This is something many Tanzanians seem to forget.
At independence, Tanzania had a bigger economy than Kenya. Kenya overtook Tanzania in the 1970s. Tanzania then overtook Kenya in the 80s and remained ahead of Kenya until 2005 when Kenya overtook Tanzania. Hizi hadithi zao za eti mzungu alituwachia uchumi mkubwa ilhali wao wamefanyia uchumi wao kazi ni potovu.
Weka Proof ya hiki unachokisema, Kenyans are known for cooking data all over the World.Shares zenu kwa EAA zilikuwa 9%, Mlitegemea shirika ligawanwe visawa wakati mnamiliki 9% pekee? Heri Mganda alimiliki 23%. π€£
Sasa onesha article ikisema kwamba mlinunua hizo dreamliner 9, alafu kwnn umesema 10 ilhali kwenye article inasema mli expect kununua 9? Unaongopa ili iweje? Kwnn mnakuwa wajinga kiasi hiki? Nani hajui kwamba mna ndege 3 chakavu.Mwaka wa 2010 tulinunua dreamliner 10 kwa pamoja. Ukiona tunawacheka jinsi mlivyo excited over kamtumba kamoja unadhani tunacheka bure?