Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wapi hapo pameandikwa tumekodi na wapi pameandikwa ni loan? Wewe myemeni utadeportiwa juu wa wendazimu. 🀣 🀣 🀣
 
Sasa wapi hapo pameandikwa tumekodi na wapi pameandikwa ni loan? Wewe myemeni utadeportiwa juu wa wendazimu. 🀣 🀣 🀣
Kuna Neno limeandikwa lsd Angalia vzr kwenye remarks kirefu chake ni leased 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kuna zingine zimeandikwa skyteam pia ni leased

 
Dreamliner zetu ziko 14 years old. It is expected. Hata gari ukiwa nalo kwa hiyo miaka kuna vitu utareplace. Hizo zenu mnachocha eti mpya na zimeshakwama hata mbele ya zetu za kitambo. 🀣 🀣
Tatizo la engines limeanza hvi karibuni ndio maana hata nyinyi limewakumba mbona hujiulizi kwann Huko nyuma halikutokea kwann liwatokee SASA hvi 🀣🀣🀣🀣🀣

Tumia akili uliobarikiwa kufikiri


View: https://twitter.com/SymKur/status/1102596397793193985?t=z4kDKK6EUQYZq3cI02YTXg&s=19
 
Shida ya uongo mtu husahau alichodanganya hadi anajikanganya. Kuna siku umesema humu wewe ni IT specialist, sahii ushakua gwiji wa IR. Kawadanganye bongolala wenzako.
Umeanza kuniogopa siyo. Tanzania tunasoma multiple issues mzee. Also IT people wanasoma everything. I mean everything. IT is Information Technology Kila kitu kinachohusu Information sisi tunasoma.


Mfano unataka kutengeneza Software inayohusu Laws. As ICT personnel, I must learn Laws and know how they operate ndio niweze kutengeneza best Law Software.

Kwahiyo mzee, mimi kusoma IR isikutie wasiwasi. Nimebobea katika issue hiyo.

Asante kwa kujaribu.
 
Ni faida gani usome vitu nyingi afu hakuna ulichoelewa? Inaitwa Jack of all treads, master of none. Ni heri usome kitu kimoja na ukielewa.
 
Kila Mkenya anajua hizo ndege leased zimekuwa leased from Kenyatta Family. Usikwepe swali nililokuuliza, hiyo information ya loan umetoa wapi?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 and yet zipo owned by Turkish air and Oman air
 
Kila Mkenya anajua hizo ndege leased zimekuwa leased from Kenyatta Family. Usikwepe swali nililokuuliza, hiyo information ya loan umetoa wapi?
SASA kwenye akili yako Kwanzia Leo ujue kabisa kq inamiliki ndege 2 chakavu pamoja na Ile muliotoa sadaka kwenye shule Huko murangaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sio Sisi watengezaji wa engine, na ukitaka kuamini subiri tuone hzo 2 leased dreamliners zitakaa muda ganiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mmeanza hii biashara juzi, wacheni tuwaonyeshe. Nakuhakikishia hiyo ATCL lazima ianguke ianze upya maanake mnavyoiendesha mnadhani ni zile basi za sijui Shabiby.
 
Mmeanza hii biashara juzi, wacheni tuwaonyeshe. Nakuhakikishia hiyo ATCL lazima ianguke ianze upya maanake mnavyoiendesha mnadhani ni zile basi za sijui Shabiby.
Tumeanza juzi na ndege ya 17 iko njiani inakuja dreamlinerπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ fully owned by government of Tanzania

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…