Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pia Wewe stupid
 
Ati..dunia yote....iyo.c.n.ufala.na.ushamba.ukidhani dunia yote..inaitazama
Capacity ya ujinga wako inazidi umri wako. I can say your stupidity is older than you.
Kwahiyo kwa akili zako fupi yaaani ndoooogo kiwango cha kunguni unadhani website hii inasomwa TZ tu?
 
Kenya ni yenu. Tanzania ni yetu. Fanyeni yenu na sisi tunafanya yetu. Mbona mnalia lia sana tukiwabinya kidogo tu. Tanzania is very strong country siyo kama yenu hiyo yenye weak Army
I prefer it that way......kila mtu achezee kwao
 
Capacity ya ujinga wako inazidi umri wako. I can say your stupidity is older than you.
Kwahiyo kwa akili zako fupi yaaani ndoooogo kiwango cha kunguni unadhani website hii inasomwa TZ tu?
Wapiiiiiii......... Fala...Wewe..
 
njaa gani..........Tuko na pesa ya kununua kwa wingi
Wenyejji wa kenya hamna pesa nyie ni maskini wa kutupwa. Wageni toka ulaya ndio wenye pesa. Thibitisha kama unapesa kwa kuweka bank statement yako hapa.
 
Sisi tunachojua
Africa ziko sehem tatu tu
Yetu mi ya kipekee east and central africa
 
Iiiii...thread...ikiendelea itatuma ni.hisi chuki kwatz

Jazba ndio tatizo lako have fun tu. Unamchukia mtz kwasababu ya thread jamii forum??? Hahahha growup bana. Unathani wote tuliomo humu tukikutana hatutakaribishana hata kunywa kinywaji?.
 
15km dual carriageway
 
Hahaha usikasirike ukisikia Dar vs Nakuru.
 
Jazba ndio tatizo lako have fun tu. Unamchukia mtz kwasababu ya thread jamii forum??? Hahahha growup bana. Unathani wote tuliomo humu tukikutana hatutakaribishana hata kunywa kinywaji?.
Kwani pia Wewe ni wawapi....unadhani.Niko.serious... C.n.ngedissappear ....mm.mwenyewe...me.na.have.fun nakujua...wa.lalas....juu ..huwa..naskia.bongo.songs lkn c.wajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…