Hakuna yenye iko na viti hata moja. Watu wanakalia nyasi na mbao😂😂😂Issue ni Viwanja vilikuepo Tz , I mean regional stadium zilikuepo na zipo long before KE kuwa na stadiums , sema hizi zilijengwa kipindi cha 1970s to 80s , Kipindi hicho serikali ilikuwa chini ya TANU ambapo viwanja hivyo ndo vilikuwa vinamilikiwa in reality hizi stadium sio za CCM ( formely TANU) . Kipindi hicho KE you couldnt dream to have any stadium . So unachoona mnafanya Kenya we did TZ long before, ni kwa vile stadium zilikuwa transfered to CCM, so the goverment haina say nazo wala haiwezi ikaanza ku rennovate , hiyo ni decsion ya CCM. Na ndo maana unaona vimechoka .Stadium hizo ni
1. CCM Kirumba Mwanza 35k
2. Shekih Abeid Arusha 20k
3.Jamuhuri Stadium Dodoma 10k
4. Sokoine Stadium Mbeyan10k
5. Ali Hassan Mwinyi Tabora 20k
6. Kambarage Stadium Shinyanga 30k
7. Kaitaba Stadium Bukoba 5k
8 . Mkwakwani Stadium Tanga 15k
9. Jamuhuri Morogoro 10k
10. Nagwada Sijaona Mtwara 15k
11. Lake Tangayika Stadium Kigoma
12, Uhuru stadium Dar 23k
13. Samora stadium Iringa
14. Maji Maji stadium Songea 30k
So kiukweli goverment of TZ should not look to build many stadiums kila region inazo , cha maana ivitoe CCM then ivi renovate we are good to go, maana CCM has failed to maintain them
Ukipata FIFA verified stadium hapo Kenya please tag me. Nasubiri 🤣 🤣 🤣 🤣Hakuna yenye iko na viti hata moja. Watu wanakalia nyasi na mbao😂😂😂
Hizi sio Stadiums bwana. These arw farms.Issue ni Viwanja vilikuepo Tz , I mean regional stadium zilikuepo na zipo long before KE kuwa na stadiums , sema hizi zilijengwa kipindi cha 1970s to 80s , Kipindi hicho serikali ilikuwa chini ya TANU ambapo viwanja hivyo ndo vilikuwa vinamilikiwa in reality hizi stadium sio za CCM ( formely TANU) . Kipindi hicho KE you couldnt dream to have any stadium . So unachoona mnafanya Kenya we did TZ long before, ni kwa vile stadium zilikuwa transfered to CCM, so the goverment haina say nazo wala haiwezi ikaanza ku rennovate , hiyo ni decsion ya CCM. Na ndo maana unaona vimechoka .Stadium hizo ni
1. CCM Kirumba Mwanza 35k
2. Shekih Abeid Arusha 20k
3.Jamuhuri Stadium Dodoma 10k
4. Sokoine Stadium Mbeyan10k
5. Ali Hassan Mwinyi Tabora 20k
6. Kambarage Stadium Shinyanga 30k
7. Kaitaba Stadium Bukoba 5k
8 . Mkwakwani Stadium Tanga 15k
9. Jamuhuri Morogoro 10k
10. Nagwada Sijaona Mtwara 15k
11. Lake Tangayika Stadium Kigoma
12, Uhuru stadium Dar 23k
13. Samora stadium Iringa
14. Maji Maji stadium Songea 30k
So kiukweli goverment of TZ should not look to build many stadiums kila region inazo , cha maana ivitoe CCM then ivi renovate we are good to go, maana CCM has failed to maintain them
Hii hutaki👇👇Ukipata FIFA verified stadium hapo Kenya please tag me. Nasubiri 🤣 🤣 🤣 🤣
Kenya ipo na FIFA verified stadium?Hizi sio Stadiums bwana. These arw farms.
Sokoine
View attachment 2994935
Kaitaba
View attachment 2994938
Ukipata FIFA verified stadium hapo Kenya please tag me. Nasubiri 🤣 🤣 🤣 🤣
Pathetic countryHizi sio Stadiums bwana. These arw farms.
Sokoine
View attachment 2994935
Kaitaba
View attachment 2994938
Kitu hawa watu wananishangaza nayo is that wamekazana ati FIFA and CAF approved yet matches headed by those bodies are being played in Kenya😂😂
Alafu anakuambia ati hizo shamba ni 35k capacity. Vile tu hata mimi naezakuambia ati this highschool Pitch has a capacity of 200,000😂😂🤣Pathetic country
Hawa jamaaa ni wajinga sana, alafu mbaya nikwamba hapa ndani wanafata akili za mtu ambae ni punguani (mentally unstable) Kama makondoo. Naskia ndio chairman wao 😅😅😅😅Kitu hawa watu wananishangaza nayo is that wamekazana ati FIFA and CAF approved yet matches headed by those bodies are being played in Kenya😂😂
Ukipata FIFA verified stadium hapo Kenya please tag me. Nasubiri 🤣 🤣 🤣 🤣Hawa jamaaa ni wajinga sana, alafu mbaya nikwamba hapa ndani wanafata akili za mtu ambae ni punguani (mentally unstable) Kama makondoo. Naskia ndio chairman wao 😅😅😅😅
Check hapa uone CAF STADIUM REGULATIONS Hatutaki makelele ya kujifurahisha weneyewe Utopia NationaHawa jamaaa ni wajinga sana, alafu mbaya nikwamba hapa ndani wanafata akili za mtu ambae ni punguani (mentally unstable) Kama makondoo. Naskia ndio chairman wao 😅😅😅😅
Yes good idea bro but tunataka by 2025 tuweze kuleta watalii 5m na tukiweza kufanikiwa hvi bro mark my words utalii inaweza kuchangia economy by 45%Sawa mkuu, just niliona tuchukue comparative advantage, category yetu flani hivi ukiona Air Tanzania unajua ni Cargo.
Zaabiria ndio hivyo shirika.linazitumia zinavyotaka kama hawajali vile, cargo huenda ingesaidia kipindi hiki kuamka.
Tukipata mtu serious abiria ziendelee.
Ni maoni yangu tu.
Hizi ndio tunaambiwa walijenga kabla tujue stadium ni nini? 🤣 🤣 🤣
Watalii gani ATCL italeta 5m kama saa hii ndio wanabeba only 850,000 passengers in a year which local route contribute 800,000 of that number😂😂😂😂Yes good idea bro but tunataka by 2025 tuweze kuleta watalii 5m na tukiweza kufanikiwa hvi bro mark my words utalii inaweza kuchangia economy by 45%
Sisi tunazo tatu approved tuonesheni yenu ambayo iko approved so far 🤣🤣🤣🤣🤣Tuta-
🤣 🤣 🤣
You only have one stadium that can come anywhere to being called modern. The rest are cowsheds.
Approval za CAF hata nikienda kwa uwanja wetu wa High School pale Kenya High School niweke vichoo na floodlights alafu niweke goal line technology ya kuhire utapewa CAF approval. Angalia quality ya viwanja mlivyo navyo. Yani ukitoa Mkapa hapo hamna uwanja kabisa.