Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulitaka Harambee stars Wacheze in a Stadium under Renovation? Hivo ndio huwa mnafanya Yemen?
Renovation gani na imetoka kwa renovation juzi Tu hapa 🀣🀣🀣🀣🀣 au nikuletee ushahidi walikuja watu wa CAF kufanya inspections
 
Renovation gani na imetoka kwa renovation juzi Tu hapa 🀣🀣🀣🀣🀣 au nikuletee ushahidi walikuja watu wa CAF kufanya inspections
Walikuja wakaichagua kuhost CHAN matches, they also went to Azam and Azam failed to qualify.

Renovation gani na imetoka kwa renovation juzi Tu hapa 🀣🀣🀣🀣🀣 au nikuletee ushahidi walikuja watu wa CAF kufanya inspections
Imeandikwa wapi ni hatia kufanya renovation ya uwanja Mara kwa Mara.
 
Imeandikwa wapi ni hatia kufanya renovation ya uwanja Mara kwa Mara.
Wamezoea zile Greek Gothic Structures hadi anaona ni strange kufanya renovation. There is a reason why the only bood stadium they have in Tanzania is a grant from China.
 
Rudini page za nyuma nilishaleta all CAF approved stadium kutoka kwenye page ya CAF official
Umeuliza report, not a list of all Stadiums in Africa. Ama maana ya report ndio hujui?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Another renovation after Ile yakwanza watu Kula pesa alaf ika fail 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Mbona Azam haikuchaguliwa kuhost CHAN? Si CAF officials walienda huko to observe the state of the stafium?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Umeuliza report, not a list of all Stadiums in Africa. Ama maana ya report ndio hujui?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilishaleta sileti tena CAF approved stadiums Sisi tunazo tatu nyie munazo ngap so far 🀣🀣🀣🀣 vichekesho kweli
 
Mbona Azam haikuchaguliwa kuhost CHAN? Si CAF officials walienda huko to observe the state of the stafium?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Azam ishahost na inaendelea Ku host mechi zote za kimataifa za CAF au unataka tubishane juzi Tu Sudan wamelewa mechi zao za CAF Azam complex 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…