Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyayo stadium is 41 years, Cairo stadium is 60 years, Orlando stadium is 65 years. Hauna hoja πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nyayo ambayo ilifanyiwa renovation na bado haikuweza kufikia CAF stadium 🀣🀣🀣

Watu walikula pesa na hakuna kitu kilifanyika Naskia munafanya another renovation ili watu wale pesa tena
 
Parking mbele ya spectators!!
Oh my goodness πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Halafu vilaza wanatupugia kele hapa hivi?
Kwani gari za ambulance na police hua zinakata wapi, nje ya uwanja au??🀣🀣🀣
 
Hebu jiulize za Emirates ama Anfield zinakuanga wapi. Umwewahiona gari mahali?
Unampeleka mbali mulize kama ashaiona Ambulance ndani ya Nyayo ama Kasarani ama any Stadium in KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unampeleka mbali mulize kama ashaiona Ambulance ndani ya Nyayo ama Kasarani ama any Stadium in KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona unajipenyeza mzee.? Kenya haina hata stadium moja yenye iko na standards za kimataifa. 🀣🀣🀣
 
Narudia kukuliza gari za ambulance na police hua zinakata wapi?? Unless we mpira hujui 🀣🀣
Zinakuwa outside the stadium in the parking area. Ama Tanzania na Yemen zinaingizwa ndani ya uwanja?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona unajipenyeza mzee.? Kenya haina hata stadium moja yenye iko na standards za kimataifa. 🀣🀣🀣
Na kwa viwanja wanavojenga bro trust me hakuna kiwanja hata kimoja watapata approval 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hio Nyayo walifanya renovation watu wakala pesa na ila fail standards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…