President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,211
SGR mlitangulia pia!Kama kawaida muko nyuma kama matako. 😂 😂 😂 😂
Yuko busy analia kama wao🤣🤣🤣🤣🤣Dennis Oliech ni Mtanzania? Jiulize kisha jipige kifue na useme kuwa wakenya ni wapumbavu.
Mwenyekiti wewe umefanya hawa watu wakaogopa yaani umewa-demoralize kabsaa! Ujue hupita humu kusoma comments! wanaogopa backlash!!😀 😀 😀 😀Yuko busy analia kama wao🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/JoelOmotto/status/1791090162329419917?t=xruytVw1QpJ9SXgTihRqng&s=19
View: https://twitter.com/mnyamwe7/status/1764005127839531456?t=oydxWiZaLi3mvVBEM81h8w&s=19
View: https://twitter.com/SportyKenyans/status/1791433168823758922?t=A9F-oa_KQLkZvgqUv_In9w&s=19
Na Nina safari ya kwenda Kenya nikawadinye Huko huko walipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwenyekiti wewe umefanya hawa watu wakaogopa yaani umewa-demoralize kabsaa! Ujue hupita humu kusoma comments! wanaogopa backlash!!😀 😀 😀 😀
ndo quality ya viwanja mnajenga! Hapo kati mnaweza kuweka pitch ikawa international stadium maana kuna mahali nimeona soko linavunjwa wanazungusha ukuta then inakuwa Bukhungu international stadium pale Kakamega ready for Madaraka celebration!Wewe libaba lizee unaona stadium wapi hapo? Hizi ni dalili za uzee. Macho yashaanza kupatwa na shida ya kuona vizuri
Unapanga kuenda kaloleni slum tena? Huko kulibomolewa sijui utaishi wapi this time round.Na Nina safari ya kwenda Kenya nikawadinye Huko huko walipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wameumia na hiyo mambo ya Malawi hata kuliko Wakenya😂😂Mnatamani tuchezee Tanzania sana. Kila siku mnalia.😂😂😂
Wee kaa tayari kudinywa Tu 😅😅😅😅😅Unapanga kuenda kaloleni slum tena? Huko kulibomolewa sijui utaishi wapi this time round.
I have informed you in advance that Kaloleni slum ilibomolewa. So jipange mapema penye utalala.Wee kaa tayari kudinywa Tu 😅😅😅😅😅
Na safari nitawadinya kisawasawa
Wewe hujiskii aibu kwenda kucheza Malawi ili Hali hamuna CAF standard stadium 🤣🤣🤣Wameumia na hiyo mambo ya Malawi hata kuliko Wakenya😂😂
The construction on ground clearly matches the render. There's absolutely no discordance between the two. I wonder what you're on about.ndo quality ya viwanja mnajenga! Hapo kati mnaweza kuweka pitch ikawa international stadium maana kuna mahali nimeona soko linavunjwa wanazungusha ukuta then inakuwa Bukhungu international stadium pale Kakamega ready for Madaraka celebration!
Render
VS
Kinachoendelea
View: https://x.com/EricNjiiru/status/1762777785351786599
Leo tumeamua kuwapea overdose😂😂😂