Iweje majumba yanaporomoka Kila siku, rushwa inaongezeka, mnadangamjwa na wachina wanawajengea reli la zamani kwa bei kubwa, mnashindwa kuongeza uzalishaji wa Chakula mnakufa kwa njaa, Sasa hiyo mitihani yenu inasaidiaje katika maisha yenu?Just accept that Tanzania is backward๐๐๐.
No country in the world test their students using multiple choice answers, no wonder kila mtu ni mjinga Tanzania๐๐๐.
Nilipata History A without the help of multiple choices, hakuna kufunika macho na kuguess B or C๐๐
kinachoangusha majumba kenya sio rushwa, ni elumu mbovu.Iweje majumba yanaporomoka Kila siku, rushwa inaongezeka, mnadangamjwa na wachina wanawajengea reli la zamani kwa bei kubwa, mnashindwa kuongeza uzalishaji wa Chakula mnakufa kwa njaa, Sasa hiyo mitihani yenu inasaidiaje katika maisha yenu?
Ndio sababu ninawauliza hao wanaosema examination zao ni bora, iweje haiwasaidii kutatua hayo matatizo?kinachoangusha majumba kenya sio rushwa, ni elumu mbovu.
Huku ndio hutaki kabisa hata kukanyaga, your small head can only comprehend cell biology ๐๐๐Kwani ni uongo. This is how I performed in my final High School exams.
Kiswahili A
Maths A
English B
Business Studies A
History A
CRE A
Biology A
Chemistry A
Mean Grade A
Na hii mkitu iko kama Peasi!Kumbe youโve also got these 1920s jalopies na hamsemi .๐๐๐View attachment 2990986
Ina mashavu mapana kama francis atwoli ๐๐๐Na hii mkitu iko kama Peasi!
HongeraKwani ni uongo. This is how I performed in my final High School exams.
Kiswahili A
Maths A
English B
Business Studies A
History A
CRE A
Biology A
Chemistry A
Mean Grade A
Unaambiwa huko utafeli exam ya Form 6 yet exam ya university zao mtoto wa lower primary hapa Kenya anaweza jibu.๐๐Tanzanian university exams๐๐๐.
Sasa hiyo number 6 ni swali la kuuliza a university student kweli?๐๐
View attachment 2991181
Kenya na Burundi ndio zisizokua na viwanja vyenye hadhi inayokubalika na South Sudan.
Wewe kama ulipata F mbona unaumwa na A za wengine? You think everyone is an F material?๐He he he another A student.
My ambitions were not inclined towards physics. I had already had two science subjects which were key to the course that I was eyeing for, why should I go for physics which was not important in that course?Huku ndio hutaki kabisa hata kukanyaga, your small head can only comprehend cell biology ๐๐๐View attachment 2991202View attachment 2991201
Thanks.Hongera
Siezifanya Supplementary exams in Tanzanian Universities kama questions zinafana hivi๐๐Unaambiwa huko utafeli exam ya Form 6 yet exam ya university zao mtoto wa lower primary hapa Kenya anaweza jibu.๐๐