Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gari 40 kwa siku aloooo sio mchezoπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜…

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 2987077
Hao watu wanaunganisha gari tano kwa siku pekeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kama kwa mwezi wameunganisha lory 150, kwa siku si hiyo itakuwa 150/30=5πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona mnaleta garage 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Umerudi negotiation stage tena?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Walifikiri Sinotruck ndiyo plant ya kwanza Tanzania 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
We know you only assembly two brands of trucks, HOWO and which all of them ziko KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
According to this, first truck was assembled in March. From March to May is 2 months and within those 2 months wameunganisha 150 trucks. Meaning wanaunganisha lory mbili kwa sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
From March to May ni 2 months or 61 days. 150 divided by 61days ni 2.4~3 trucks/dayπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kabla ya ufunguzi haikua rasmi SASA imefunguliwa rasmi alaf ajabu gari zote zishauzwa tayari

40 trucks a day sawa na 1200 units a month

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hakuna biashara ya magari kwao ndio maana unaona hata AVA hua ana assemble gari kwa order maalum lakini sio official kua anatambulika na hzo kampuni never ever πŸ˜…πŸ˜…
Sasa utawekeza aje mabilioni mahali hakuna biashara? Kama hakuna biashara ya malori kwetu mbona haya makampuni yote yaliamua kuinvest Kenya wala sio Tanzania ambapo biashara ya malori iko? Watanzania desperation na wivu zitawaua🀣
 
The reality is that they produce 2-3 trucks per dayπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
40 units a day πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Go go Tanzania πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Official howo assembly plant in east and central Africa

 
Sasa utawekeza aje mabilioni mahali hakuna biashara? Kama hakuna biashara ya malori kwetu mbona haya makampuni yote yaliamua kuinvest Kenya wala sio Tanzania ambapo biashara ya malori iko? Watanzania desperation na wivu zitawaua🀣
They like to believe what they think and they you dispute their belief you automatically become their enemy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…