Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Huyu ametumwa kuvuruga madaπKwanini umeweka picha ya upande upande? Umeficha nyumba za mabati au sio π€£ π€£ π€£ π€£
Kwahiyo walio rank Kenya kuwa na ma slums makubwa zaidi duniani walitumia picha hizi au sio π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Nikuwekee ma slums yenu yaliyowaweka juu ya nchi zote duniani? π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Au wewe hapa unamuongopea nani, unadhani hapa ni skyscraper city au unadhani hapa ni nailarand π€£π€£π€£π€£π€£
Umerudi grieving stage tenaππππ.Kwahiyo unavyoongopa ili umfurahishe nani sasa, wewe ni mpumbavu wa mwisho humu ndani hata wakenya wenzio wanakushangaa.
Wakumbuke pia tuna Isuzu, Fuso, Scania, Hino, wakati wao Howo pekee.
assembly factory yenye kutumia mbao kuzuia tyre za chassis zisi-roll!
Kuna msemo mtaani unasema "umejifundisha vita leo wataka kupigana na tyson"Wakumbuke pia tuna Isuzu, Fuso, Scania, Hino, wakati wao Howo pekee.
Hata za AVA pia ulisema zina trolley and when I got a good pictures you changed tune to hapo sio AVA. Wewe tunajua uzee ndio inakusumbuaππassembly factory yenye kutumia mbao kuzuia tyre za chassis zisi-roll!
Tuna hadi na Mercedes na Renaultππ.Wakumbuke pia tuna Isuzu, Fuso, Scania, Hino, wakati wao Howo pekee.
Hadi Myemen alishaanza kulinganisha hiyo go down Yao ya HOWO na AVAπππKuna msemo mtaani unasema "umejifundisha vita leo wataka kupigana na tyson"
Huyo nimeacha kubishana nae hajui maana ya assembly plant anafkiri watu wajinga Sanaπ π π π ππ€£π€£π€£π€£ wacha kufosi vitu.. unaijua Dock sound garage.?
Ndio maana nimeacha kubishana nae π πassembly factory yenye kutumia mbao kuzuia tyre za chassis zisi-roll!
Hata umeogopa kunijibu sasaπππHuyo nimeacha kubishana nae hajui maana ya assembly plant anafkiri watu wajinga Sanaπ π π π π
Hii kitu imewauma Sana mark my words
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=ssZmeDGCDzyZaL8l4LOVZA&s=19
Wacha Tu nicheke kwa kweliπ π π π πNow letβs go through the heavy trucks assembled in Kenya.
Fuso
View attachment 2987014
Foton
View attachment 2987016
Renault Trucks
View attachment 2987020
Mercedes Benz
View attachment 2987022
Isuzu
View attachment 2987025
Scania
View attachment 2987029
Jamaa anaweka mpaka kiwanda kilichofilisika ili kupata ahueni ya sinotruck assembly plant ambayo ni assembly plant pekee East and central Africaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£πππNow letβs go through the heavy trucks assembled in Kenya.
Fuso
View attachment 2987014
Foton
View attachment 2987016
Renault Trucks
View attachment 2987020
Mercedes Benz
View attachment 2987022
Isuzu
View attachment 2987025
Scania
View attachment 2987029