Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nioneshe hio fertilizer industry bro naisubiri na uniletee na maelezo yake vzr kabisa
 
Imepata city status juzi basi haitafikia ata Arusha yenye city status for more than 7 yrs now!!
Bro asikudanganye city kenya ziko tatu tu, nairobi mombasa na kisumu zilizobakia ni town za kawaida
 
Then bado real estate, transport eldy iko katikati ya nai na Kampala so ni major centre of exports and imports
Arusha mbali na suburb zake maarufu kama Njiro,Sakina, uzunguni...

Kuna satellite city mbili ambazo zinajengwa kwa speed ya mwanga,

Panajengwa bypass road na kuna boom la international universities nowadays...
real estate Arusha hamgusi...eld ijaribu mji mwingine, Wakenya wenzio waliofika Arusha wote walipapenda
 
Wakati ninaendelea kusubiri jibu lako kuhusu ubora wa public hospitals za Kenya, ngoja nikupe kionjo cha jinsi Magufuli anavyoipaisha Tanzania, kwenye viwanda vya value addition, Tanzania imeizidi Kenya zaidi ya mara mbili, hii ni ripoti mpya, kwa maana hiyo manufacturing industry nayo inakuwa kwa kasi sana.
Tanzania beats regional peers in value addition
Picha nadhani nlishzituma

Aerial ya cbd?

Nioneshe hio fertilizer industry bro naisubiri na uniletee na maelezo yake vzr kabisa
 
My friend tundu lisu alikimbia huku kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…