Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,719
- 107,165
wacha wee!Sasa unataka nijibu shida zenu? Mbona usiwaulize kwa nini hawaombi? Ama unadhani ni rahisi kama kupata route ya daladala? First of all does Air Tanzania even have the capacity to fill Kenya Airways'gap?
Tulikuwa tunasubiri Max zije na Airbus zilizokuwa matengenezoni zirudialfa and omega kelele za Nationmedia? mbona si gazeti la Kinshasa? ET imeongeza frequency! na nashangaa kwanini Air Tanzania haiombi route ya Kinshasa?
OhkTulikuwa tunasubiri Max zije na Airbus zilizokuwa matengenezoni zirudi
Wamwzimika kama MshumaaKwenye tourism siwasikii tena, kulikoni π«΄
View: https://twitter.com/GatewaySafari/status/1787393946051641704?s=19