Hawezi leta huyu nyang'au hata siku moja; ni sawa na kumwambia alete picha ya stendi😎Leta projects kijana zenye value kubwa. Unaogopa? Hapo kenya hakuna Mega Projects
These are mega Projects currently going on in Tanzania
1. Electric SGR - $10.04B
2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B
Kabla sijaendelea hii ni total ya Mpaka hapa total is $18.54B
Tunataka wakenya walete projects zinazofikia hiyo pesa ndio tuendelee na mambo mengine.
Mibongolalala Kwa kujifariji hamjamb!Wakenya just to remind you
Wakati tunajenga Reli, Bwawa Barabara, Madaraja, BRT na miradi mingi ya kimkakati, ambayo ni ya malengo ya miaka 100
Nyie humu mnapost magorofa ya kupangisha ambayo wengi wenu humu hamtawahi kuishi humo, kipindi Cha nyuma hapo mlikuwa mnapost express way ambayo imeprove haikuwa necessary at all.
Now mradi wenu mkubwa kabisa ni uwanja wa mpira, ambapo sisi tuna project za aina hiyo zaidi ya 5 ukiacha timu Binafsi.
Wakenya hamuoni mnatatizo la Uongozi? Uongozi wenu umekuwa unasimamia basic staff but not future of your country
Ongezea na Government City (Dodoma) $4.7 billionKenyan Youths are making their own tournament. They have organized a car competition which attracts a good support base.
View: https://x.com/Kevoh_254/status/1787143741565808970
Bado hatujataja BRTMibongolalala Kwa kujifariji hamjamb!
Hivi, ukiondoa BRT ni mradi gani uliyotaja hapo Tanganyika haifanyiki Kenya? Je, ni mabwawa, barabara, sgr ama nini haswa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣A 40,000 seat Stadium coming up in Bungoma.
View: https://x.com/ntvkenya/status/1787099617068286111
View attachment 2981833
3000 capacity stadium 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alaf muko busy kuwatukana CAFDandora Stadium in Todays League Match was filled to the brim.
View: https://x.com/AFCLeopards/status/1787137307109191896
Nyinyi muna mradi wa bwawa la umeme??🤣Mibongolalala Kwa kujifariji hamjamb!
Hivi, ukiondoa BRT ni mradi gani uliyotaja hapo Tanganyika haifanyiki Kenya? Je, ni mabwawa, barabara, sgr ama nini haswa?
Muulize kama wana SGR. 😅 😅 😅Nyinyi muna mradi wa bwawa la umeme??🤣
Azam iko na viti?😂😂3000 capacity stadium 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alaf muko busy kuwatukana CAF
Hii inaitwa funga kazi, ha ha ha😎Tukiongezea na project ya (Tanzania LNG project) $42B
These are mega Projects currently going on in Tanzania
1. Electric SGR - $10.04B
2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B
4. Government City (Dodoma) $4.7B
5. Tanzania LNG project $42B - Ipo kwenye pipeline
Kabla sijaendelea hii ni total ya Mpaka hapa total is $65.24B
Mzee usijifanye huoni 👇 👇 👇 👇Azam iko na viti?😂😂
Density haiangalii idadi ya floors bali idadi ya majengo...tumia akili...Density gani ya tall buildings Dar iko nayo? Dar only have 7 buildings above 30 floors with another 12 buildings of 20-29 floors.
Tanzania inabidi tujenge utamaduni wa kujali vipaji wakati vinachipukia, hawa jamaa hakuna aliyewajali wakati wanajaribu kutoboa. Baada ya kufankiwa chawa wa mama wameamua kudandia treni kwa mbele.Kwahiyo hawajalipwa na TTB?
Hapa tunaangalia floors. If it’s about buildings then no city comes close Mombasa.Density haiangalii idadi ya floors bali idadi ya majengo...tumia akili...
He asked you a very simple question: who ranked you the best?Hii ndio sababu huwa nakupuuzaga.. endelea kupiga kelele mwaya.