Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoja hapa sio kuwa mojor General naona hamuelewi.Hoja ni kuwa kamanda wa vikosi vya anga,Ardhi au navy kama huyo Mkunya.

Samia anataka afute hii dhana ya kuonesha kwamba vyeo Fulani ni vya wanaume kama ilivyotokea kwake binafsi watu wakiuliza how comes amiri Jeshi Mkuu awe Mwanamke?

Pili kuna kasumba ya CDF au IGP kuwa Mwanamke,ndio maana Samia amesema msije shangaa ikitokea one day even before 2030.

Kwa hiyo Wakunya hapa nawapongeza Kwa kumchagua Mwanamke kuwa kamanda wa vikosi vya anga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…