Kasheshe ilianzia 1975 kwenye oil embargo, halafu tukaja pigwa na ukame, mwishowe vita. Hata Kenya nao walikuwa hoi miaka hiyo, Moi kama Nyerere wote walifanyiwa majaribio ya kupinduliwa.Ila huyu anaongea bila kujua Tanzania ilikuwa inatoka kwenye vita ya Kagera na Uganda!
Hatujawahi kuwa na oil embargo hiyo 1975 kulikuwa na global oil crisis!Kasheshe ilianzia 1975 kwenye oil embargo, halafu tukaja pigwa na ukame, mwishowe vita. Hata Kenya nao walikuwa hoi miaka hiyo, Moi kama Nyerere wote walifanyiwa majaribio ya kupinduliwa.
Kwani lazima wakenya wazungumze Kiswahili same na ya Tanzania? USA and UK are using different English words and all are correct.
By the way have you learned how to write Locomotives? Have you also learned the difference between MU and Locomotives?
Ndani ya saa 15 tu Ngorongoro imejulikana kwa watu zaidi ya million 11 duniani, promo kubwa sana, katika idadi hii kuna million kadhaa ndio wameijua Tanzania for the first time, kuna million kadhaa wanaweza kuja Tanzania, kuna million kadhaa watafikiria kuja TanzaniaDah social media zinatangaza sana Utalii wetu, wapo watasema royal tour, mara government efforts and stuff lakini kwa research yangu ndogo niliofanya kwenye social media utalii wa Tanzania umekua sana kutokana na clip kama hizi
View: https://twitter.com/AMAZlNGNATURE/status/1784561396316864761?t=Qv1p981N41SJAUqkD0iC8A&s=19
Duh hizo train coaches hata Kimbinyiko imeiacha mbali sana Kenya Railways
Rais wa Mozambique anaongea kiswahili safi sana. Anawazidi kwa mbali wakenya
wewe mpumbavu wa wapi ikija michezo mingine kama ya riadha itafanyika wapi sasa?
View: https://x.com/MsigwaGerson/status/1783510138688548889Kagusia issue ya kutoa running tracks kwenye UHURU STADIUM ambayo nilikuwa naisema watu wakaniona mimi mjuaji, a soccer stadium does not need running tracks hata MKAPA ikiwezekana waitoe tu uwe full soccer stadium runniing trucks zibaki ARUSHA , plus kaongelea kujenga Dodoma stadium
What kind of drainage would drain that amount of water Mr. Guesthouse?
View: https://twitter.com/MikeSonko/status/1784666131615076790
MY TAKE
As Former Nairobi governor anaongea ujinga! Alikuwa ana uwezo wa kuweka drainages!