Your army is poor, just like you.Wacha kupost vitu zenye hujui chochote eti ili uwe relevant. Unajua hata ni kwanini hao police wa sare hizo za colonial era walikuepo kwenye sherehe za juzi.? Au unapost tu.?
Unatafuta Attention kwa nguvu sana. Tafuta pesa kijana. 😀 😀 😀Your army is poor, just like you.
Anafikiri kuna polisi wanavaa hivo. 😂😂😂Wacha kupost vitu zenye hujui chochote eti ili uwe relevant. Unajua hata ni kwanini hao police wa sare hizo za colonial era walikuepo kwenye sherehe za juzi.? Au unapost tu.?
Yet mnajaza humu tweet zinazoongelea vitu mnavyokubaliana navyo. Huwa mmesahau ni nadharia zao?Unaona mtu kabisa anaongea nadharia zake badala ya historia yakinifu.
Huyo jamaa ni sawa na baba levo anavyoongelea siasa wapi na wapi!?
English Speakers 😀 😀 😀Yet mnajaza humu tweet zinazoongelea vitu mnavyokubaliana navyo. Huwa mmesahau ni nadharia zao?
Mimi naweza kumfundisha hata lecture wako aliekufundisha wewe kiswahili.Did you even attend a secondary school? Kwanza I’m sure Kiswahili you scored D. That’s why instead of saying what you scored unapiga kelele.
He is misinformed ndio maana sikutaka kumjibu maana ni kupoteza muda tuu.Wacha kupost vitu zenye hujui chochote eti ili uwe relevant. Unajua hata ni kwanini hao police wa sare hizo za colonial era walikuepo kwenye sherehe za juzi.? Au unapost tu.?
Uchumi wao unga unga wa kijanjajanja tuu kama walivyo viongozi wao.IamLee taking loan 400b ksh for currency stabilization 😂😂😂😂 hvi nyinyi akili zenu ziko timamu kweli??
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1784473928385146966?t=MIkAyL-erl1Je7u3FQDOwg&s=19
You can reach JKIA by marine transport now 🤣🤣🤣Ile award ya uwanja wao sasa na mimi naikubali rasmi...
The only Airport which support Intermodal Logistics at Go... Train, Buses, Boats and Aircraft meets at kunya Airport... Hii nawapa hongera!
Mimi ni investor kwenye water transport. Nataka nianzishe scheduled routes to and fro JKIA. Please let me know Agency ya transport Kenya inaitwaje nifanye application ya leseni.You can reach JKIA by marine transport now 🤣🤣🤣
Sasa unatakaje? Tukupigie makofi?Aawapi leta distance ya Kisumu and Eldoret from Naitobi tu-compare!
View attachment 2975862
View attachment 2975867
View attachment 2975864View attachment 2975866
View attachment 2975867View attachment 2975865
Na CDF wenu kafa na scrapsThe entire world wanashangaa na Upuzi wa hawa wajinga.😂😂😂
View: https://x.com/TheAfricanPen/status/1784185652025643152
Aisee!?Yet mnajaza humu tweet zinazoongelea vitu mnavyokubaliana navyo. Huwa mmesahau ni nadharia zao?
Sio fikra bro, wewe hukubaliana wakati vitu vinavyoongelewa vinapokuwa vitu unavyopenda kusikia.😂😂 Kwa Ile lugha huwashinda vinaitwa Confirmation Bias. The only reason haukubaliani na huyo jamaa ni kuwa amesema Kiswahili kimeanzia Kenya. So far huna facts zozote zinazoproove alichosema kuwa uongo.Aisee!?
Vitu navyokubaliana navyo sio nadharia tu butu bali ni fikra yakinifu.
Unaweza kuta hata Zakayo huwa anapanda hizo mitumba wanayopewa misaada.Na CDF wenu kafa na scraps
Zoea your D grade in peace.Mimi naweza kumfundisha hata lecture wako aliekufundisha wewe kiswahili.
Facts nilizieleza na ukitaka nizirudie nitazirudia.Sio fikra bro, wewe hukubaliana wakati vitu vinavyoongelewa vinapokuwa vitu unavyopenda kusikia.😂😂 Kwa Ile lugha huwashinda vinaitwa Confirmation Bias. The only reason haukubaliani na huyo jamaa ni kuwa amesema Kiswahili kimeanzia Kenya. So far huna facts zozote zinazoproove alichosema kuwa uongo.
There are no skills in Dying. Your Army on the other hand is just a laughing stock.Na CDF wenu kafa na scraps
🤣🤣 sio kwamba sijafika shule kabisa.? Sema nini, nawezakumfundisha mwalimu wako wa kiswahili, na mtihani nitakaoutunga mimi, basi wewe pamoja na huyo mwalimu wako hata hiyo D hamtopata.Zoea your D grade in peace.