Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,268
- 107,908
Hivi Mchina alikumbuka kuwawekea shops Kwenye Terminus zao?Nairobi station ikifika level hii mm nafunga ACC SASA hvi π€£π€£π€£πππππ
Kabisa KiongoziNilichogundua, Watanzania are aspiring for mambo makubwa sana, yaani kile kinachotokea China, Japan kwa sasa.
Angalia treni Kenya, Nigeria, South Africa, Ghana lakini hii yetu Watanzania waliipinga sana. Imagine tungekuwa na mzigo mbovu kama wa Kenya SGR!!??
Terminal zimekaa kishamba yaani unapanda ngazi kuruka rail yhen unashuka ili kufikia platform nyingine!Wakenya terminals zenu nzuri sana tena sana...shida ipo kwenye treni yenu na speed yakeπππ
If you use common sense huwezi fananisha diesel engine vs electric train
hawa jamaaa wajinga hawajui hao ni Yapi Merkezi employees na wapo ndani ya fence!
City under water πββοΈ