Kenya ni nchi ya vurugu sn, sielewi wanaishije aiseeMombasa ndo imefika huku sahivi.
Nchi ya ajabu sijawahi kuona.
View: https://twitter.com/marto254_/status/1782688922826391782?t=LnxVXIQ9rdBHcq_DmeFxnw&s=19
View: https://youtu.be/m9z5IPEYht4?si=LCBl2iaPz4FkrriR
MY TAKE
SGR Uvinza-Msongati mkandarasi kutajwa Mwezi Mei!
sasa hapa zile bullet train zikianza trials tunawa-tag tena!Tumezua balaa kubwa sana, mi nacheka kwakua hii wanayoshobokea kwa sasa kwanza haiendi full speed halafu ni 3rd class hapa Tanzania, yaani ile mipini bado haijaanza kukinukisha. Itakuwa balaa!
Unawasikia wajinga huko Ghana wakishangilia ujinga "power, power"! Sipati picha hii ingekuwa kwetu
View: https://twitter.com/sayhameed/status/1782702753686360541
Hawa na Kundustan lao moja wanapenda kujikweza pia! Utaskia the the fatest SGR in the whole of Africa!Tumezua balaa kubwa sana, mi nacheka kwakua hii wanayoshobokea kwa sasa kwanza haiendi full speed halafu ni 3rd class hapa Tanzania, yaani ile mipini bado haijaanza kukinukisha. Itakuwa balaa!
Unawasikia wajinga huko Ghana wakishangilia ujinga "power, power"! Sipati picha hii ingekuwa kwetu
View: https://twitter.com/sayhameed/status/1782702753686360541
These are not Swahili words.So, ukienda ulaya ukiongea kiswahili utaeleweka mana utaongea maneno kama keshi (cash) televisheni (television), muvi (movies), si ndiyo?
Wakenya hamna akili.
Kwani kuna shida? Yemen wanatumia gani?Hebu wait, are they still using licence booklets
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1782782827961909360?t=NlrWseO1KTQj8xQOCwMDuA&s=19
Kusema ukweli ndio kujiaibisha?Acha kujiaibisha.
In the case of Arabic influence on Swahili language, there's no lending of words. Arabic shaped/influenced Swahili as a language up to 40%. That's the differenceUkisikia lending of words ndio maanaye kutohoa.
Kutohoa ni uazimaji wa msamiati toka lugha ya kigeni na kuutumia katika lugha nyingine husika.
Which words are Swahili?These are not Swahili words.
Yoruba is not a bantu language.Nimepitia mkuu kuna maelezo mawili.
Yapo yanayosema bantu na yapo yanayosema sio bantu mkuu.
Ila kwa mimi nimeukubali upande wa bantu kwa sababu moja mkuu,asili ya wanaoongea hiyo lugha ya Yoruba ethnically ni bantu.
Argue like someone who went to school. If I may ask you, mwalimu anaitwaje Kwa hiyo lugha yako iitwayo kibantu?😂😂😂😂😂😂Aiseee.
ni nini maana ya 'ethnolinguistic'!?
2024 alooo munasafari ndefu Sana 🤣🤣🤣Kwani kuna shida? Yemen wanatumia gani?
People also have smart DL. Like me I have both Smart Driving Licence and Booklet driving Licence.2024 alooo munasafari ndefu Sana 🤣🤣🤣
Unasema wamekuwa wakipata msaada. 🤣 🤣