President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,619
- 94,217
Nyayo stadium hii hapa imetumika jana lakini popoma anasema iko under construction. πππ
Watadai na sgr ya umeme ni yao π€£πββοΈNakutajia vitu vitatu ambavyo Kenya mli claim vyenu.
1)Mt.Kilimanjaro.
2)Olduvai gorge.
3)Nyerere bridge.
Je bado unakataa?
Kukosa akili ni kitu mbaya sana.Nyayo stadium hii hapa imetumika jana lakini popoma anasema iko under construction. πππ
View: https://x.com/sallybolo/status/1782355395744235772?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
What's this?between; young man?
Ulisema; Under construction
Renovations started today, Magazine said after 22nd April.Ulisema; Under construction
Gazeti linasema; Will undergo renovations
Nani hana akili hapo! πππ
What do yo think it is?What's this?
Mwenye hana akili anaita watu kukosa akili, maajabu.Renovations started today, Magazine said after 22nd April.
Kwa kukosa akili unajulikana kwa hilo.
Thanks for google at least now you know what construction and renovation are.Mwenye hana akili anaita watu kukosa akili, maajabu.
Under construction and renovation.
View attachment 2971133
Ulisema Nyayo ipo under construction wakati wote tunajua wana mpango wa kufanya renovations!Thanks for google at least now you know what construction and renovation are.
By the what's your level of education? Did you even attend Kindergarten?
Sawa baboon.Ulisema Nyayo ipo under construction wakati wote tunajua wana mpango wa kufanya renovations!
Hujui maana ya under construction na renovations.
Watoto wa mjini wanasema kipmeno arap Teargas ameingia cha kikeπMwenye hana akili anaita watu kukosa akili, maajabu.
Under construction and renovation.
View attachment 2971133
Baada ya kuingia cha kike anajaribu kuhepa kwa kuuliza elimu ya mtu,Watoto wa mjini wanasema kipmeno arap Teargas ameingia cha kikeπ
Line ya Arusha ilikuwa ikiungana na ile ya Mombasa kupitia Voi, ila kwa roho mbaya wakina Njonjo wakaing'oa.Ati connecting our line and Tzs! πππ
View: https://x.com/jamesmwadeghu/status/1782393663475081390?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Wewe huna elimu yoyote beyond primary school. I even doubt if you stepped into Primary School.Baada ya kuingia cha kike anajaribu kuhepa kwa kuuliza elimu ya mtu,
Yaani aliyeingia chaka anaulizia elimu ya aliye sahihi. πππ