ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,165
- 3,374
Mwaka huu tu wamepata ajali za helicopter zaidi ya tano, waache kununua mitumba kwa wazungu. 😭Wajaluo watalalamika. RIP Ogolla. Sasa hawa nyang'au si walisema wanaongoza kuwa na helicopter nzuri Africa nzima?
Sio kweli, hatufurahii kifo,Rip Ogola, ninyi mlifurahia kifo cha Magufuli, lakini yanayofaa kuyaepuka muyaepuke a.k.a mitumba ya ulayaTanzanians are celebrating the death of a person as if their life depend on it. Pathetic creatures.
JWTZ lina ngapi?ofcourse hilo linajulikana KDF haina single fighter jet/chopper/plane imenunuliwa brand new!
hatununui chuma chakavu sie!JWTZ lina ngapi?
Tunasumbuliwa na watotoKijamaa si kinajikuta ni mtu wa maana, sasa kilijichanganya kikapost conversation zake sijui na nani huko huko kwao, Halafu aka hide dp. Simon akamtolea uvivu akaitafuta ile account yake na kupost picha zake humu. Mchizi ndio huyu 👇😂😂😂View attachment 2968135
KiberaWalkerJWTZ lina ngapi?
Dah kumbe ndio watu tunao deal nao humu ndani dah !!!!Kijamaa si kinajikuta ni mtu wa maana, sasa kilijichanganya kikapost conversation zake sijui na nani huko huko kwao, Halafu aka hide dp. Simon akamtolea uvivu akaitafuta ile account yake na kupost picha zake humu. Mchizi ndio huyu 👇😂😂😂View attachment 2968135
Nilishasema humu ndani kuwa Kenya ni consumption economy na mara nyingi uchumi wa aina hii huwa hauna base
Jibu swali.hatununui chuma chakavu sie!
Hizo thamani sio za kweli, €3m ni pesa ndogo sana kwa simba na yanga.
You are a failed state pumbavu kabisa nyie, kila siku tunawaambia mnanunua mavitu ya enzi za WW1 mnabisha, mwishowe mpaka Ruto atakuja kuanguka na hayo ma scrapper.Tanzanians are celebrating the death of a person as if their life depend on it. Pathetic creatures.
Kafie mbele haituhusu.You are celebrating the death. Hadi wewe mzee mzima kama unafurahia baba ya mtu kufa? How many helicopters have fallen down in Kenya? Mbona hii mnashingilia sana? It’s because you are happy that the guy is dead.
HaituhusuThis was an assassination.
Mbona kama chokoraaKijamaa si kinajikuta ni mtu wa maana, sasa kilijichanganya kikapost conversation zake sijui na nani huko huko kwao, Halafu aka hide dp. Simon akamtolea uvivu akaitafuta ile account yake na kupost picha zake humu. Mchizi ndio huyu 👇😂😂😂View attachment 2968135