Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua ksh ni Kama dollar kwa watanzania. No wonder all Tanzanians are struggling to come to kenya just to get hold of Ksh.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

SASA umejmua DJ AllyB
 
Najua ksh ni Kama dollar kwa watanzania. No wonder all Tanzanians are struggling to come to kenya just to get hold of Ksh.
Ksh Ile ambayo mpaka mkopo wa 400b ksh ndio unapata boost up 😅😅😅😅 Yani bila mkopo mulikua munaelekea kwenye 170
 
Mm naona misitu na majani kwani hapa ni wapi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Au Lamu wanaishi punda pekee hakuna binaadamu???
Unatapatapa Kama mfa Maji, hoja imehama kutoka barabara na magari??😅😅😅
 
Unabishana na mtu mwenye hajawahi fika hata nje ya club, 🤣🤣🤣we unadhani anaweza jua hata any Kenyan DJ ? Clubs Zenyewe hajawahi enda.
I always like to disapprove you. Let me show you my old pictures when I was still a raver.

In the first picture I was in Bamburi Mombasa (2017) with 1 Litre of Jack Daniels worth Tsh 100,000 with a Smirnoff Chaser worth Tsh 70,000

The Second One I was in Motherland along Thika road (2018) Chilling with a White Cap lager beer. This day I was bored and just wanted to go chill somewhere with something light.


I stopped raving.

 
There are no roads or cars in lamu according to toilet boy😅😅View attachment 2962338
Mna reasoning dhaifu sana..
Kinachojustify hapo ni Lamu ni nn?👆


Na wew kinachojustify hapo ni Mombasa ni nn?👇

Yani ni sawa na mim nikipost hiv..
"Yesterday I was in Mozambique, wanapoishi wazungu au karibu na Ikulu ya Mozambique, na blah blah nyingine" without any justification
 
Believe whatever you want, idiot.

Are you not the same person that sometimes back alisema ati academic certificates nilipost sio zangu after uliona I scored “A” in every subject? Ama sio wewe?
 
Show.. sinaga mda na hayo mambo ya wanuka mavi
Was this not you? You deleted this comment after umegundua you were making foolish assumptions. The good thing The best 007 replied to that comment of yours and it easy to trace it even after you deleted everything.

 
Giving them peanuts na bado wanavalisha kama clowns
You wish. Shida yenu ni kuongea tu kifala bila facts. I work with those guys frequently, i am working on closing a deal with Faith Kipyegon through his manager Sebastian Westerhout and their bills are crazy.$ 50,000 just to show up and we are paying air tickets and accompanying etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…