ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,516
- 89,956
Hii ndio skyline ya Zanzibar🤣🤣🤣Zanzibar
View attachment 2961224View attachment 2961225View attachment 2961226View attachment 2961227
My Take: Sio sawa kuacha maeneo mazuri yenye beaches na natural vegetation kama haya kujengwa makazi ya chini na ya kawaida.
Bora Serikali ya Zanzibar iyatwae wawajengee watu flats na kuwapa wawekezaji walete pesa.
View: https://twitter.com/mhdhamad/status/1778407134952059290?t=MLrGbTHyhxdtqxi2A9dQHw&s=19
Ndio maana wakaitwa failed state, hilo jina linawafaa sana.Tofauti ya mtanzania na mkenya ni kubwa sana hasa kwenye matumizi ya akili, wakati serikali ya Kenya inapitisha mpaka miezi 9 bila kulipa madaktari, serikali ya Tanzania inafikiria njia tofauti ya kupata kipato cha ziada kuboresha maslahi ya wafanyakazi
View: https://youtu.be/B6k2f0WdjhA?feature=shared
View: https://twitter.com/KenyaInsights/status/1777660348759249072?t=eDPHAc9vCFNiq8RatqdOVQ&s=19
According to mama Ngina😂😂😂Economy ya Nakuru is 5 times bigger than ya Zanzibar.
Mende stadium
Mr. Guesthouse Ulale.Mende stadium
KMV's trademark fabricated Buses alias mambasi!Bus terminals za Kenya 90% zinakaa hivi 👇👇
View attachment 2961343View attachment 2961344View attachment 2961346View attachment 2961347
Wàh this Island is overrated.Zanzibar
View attachment 2961224View attachment 2961225View attachment 2961226View attachment 2961227
My Take: Sio sawa kuacha maeneo mazuri yenye beaches na natural vegetation kama haya kujengwa makazi ya chini na ya kawaida.
Bora Serikali ya Zanzibar iyatwae wawajengee watu flats na kuwapa wawekezaji walete pesa.
View: https://twitter.com/mhdhamad/status/1778407134952059290?t=MLrGbTHyhxdtqxi2A9dQHw&s=19
Ukurutu stadium!Afcon stadium 🏟️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2961320
Wageni wana raha wenyeji ni shida tupu. 🤣 🤣Wàh this Island is overrated.
Ukitoka kwa hotels ni ushago tupu.
Poor roads everywhere.