Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taja vitu vitatu
1.international airport
2. Moi university(bonge la university)
University of Eldoret
Baraton university of eastern Africa
About 10 satellite university campuses
3.The Moi teaching and referral hospital (2nd biggest after Kenyatta hospital Nairobi)
4.26 floor tower,19,15 floor
5.many industries including rivertex etc
Mwanza is not in this league
 
hahaha Ile mwanza yenu ndio mnapima na Mombasa....hahaha.anyway it's good for consolation......mwanza can rank 6th by Kenyan standards
Asante kwa matumainiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Usiogope kufikiria my friend.... Hautakufa
 
Kasome bugando medical centre alafu uje na iyo yenu tuanze

St Augustine university
 
hahaha Ile mwanza yenu ndio mnapima na Mombasa....hahaha.anyway it's good for consolation......mwanza can rank 6th by Kenyan standards
Not by kenyan standards
Ni by yur standards

Ata mwanzon nilikuwa nashangaa nimefika Nai na niko Dar ila hamna tofaut zaid ya Dar kuwa kubwa sana. Ila ilikuwa inashangaza Nai kwenye picha inaonekana mrembo sana than Dar
But ni kuwa hamna wapigaj picha wazr uku kwetu
Ata picha za kwenye huu uzi ni zetu tumezunguka mitaani na kupiga wenyewe
 
Nioneshe hio 19 na 15 fl nasubiria sasa hvi
 
Mwanza ni ya pili kwa GDP Contributions Kwa tz wako na migodi mob ya madini sijui hua unakunywa chang'aa ya wap ww
Eld ni kijiji kinakalishwa na Morogoro tu wala sio Mwanza
 
hahaha Ile mwanza yenu ndio mnapima na Mombasa....hahaha.anyway it's good for consolation......mwanza can rank 6th by Kenyan standards
Kakisumu ni kadogo sana compared to mwanza. Kuna vijengo viwili ambavyo kila picha vinamuemo
Sema infrastructure mko
 
Mwanza ni ya pili kwa GDP Contributions Kwa tz wako na migodi mob ya madini sijui hua unakunywa chang'aa ya wap ww
Eld ni kijiji kinakalishwa na Morogoro tu wala sio Mwanza
Achana nae huyo hana akili hua anapenda kujaribu jambo likimshinda anakimbia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mawazo yao hua bado wanawaza ile tz ya 90s hakui watu wametumia miaka 10 kujenga nchi kila kona
 
Mwanza ni ya pili kwa GDP Contributions Kwa tz wako na migodi mob ya madini sijui hua unakunywa chang'aa ya wap ww
Eld ni kijiji kinakalishwa na Morogoro tu wala sio Mwanza
Eldoret GDP ni bigger than Mwanza....Eldoret inaleta pesa za athletes millions ama billions kila mwaka,ni Kenya's food basket, iko katikati ya Kampala na Nairobi so a major export/import centre to/fro uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…