Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
Ulichoandika kinanuka roho mbaya halafu unaita wenzio roho mbaya.Na kama kuna mtu mwenye roho mbaya humu duniani ni MKENYA haridhiki hata na chake hadi cha jiriani yake anajitangazia chake ubaya umeingia ndani mpaka umelandana na sura zenu ndio maana nchi nzima mmefanana hamna cha mwanamke au mwanaume wote sura ni hizohizo kama mnataka kulia vile na makomwe yenu.
hio ndio asili na kaliba yenu hutaki ama hujiisikii vyema kuambiwa jinsi mlivyo?Ulichoandika kinanuka roho mbaya halafu unaita wenzio roho mbaya.
Kwani kuship mbuzi, kondoo na punda hapo Lamu mnahotaji cranes zote hizi?😅😅Lamu port is now ready for work.
View: https://twitter.com/Kenya_Ports/status/1776961891702583548?s=19
Wanakuambia EACOP inaenda LAMU!Kwani kuship mbuzi, kondoo na punda hapo Lamu mnahotaji cranes zote hizi?😅😅
Utoto raha sana 🤣 🤣 🤣Hii ingekuwa Bongo hatungepumua kwa wiki mbili..😄😄😄😄😄
View attachment 2956756View attachment 2956758
Baada ya ku-inject fedha za mkopo wa IMF na Eurobond sio?Hii ingekuwa Bongo hatungepumua kwa wiki mbili..😄😄😄😄😄
View attachment 2956756View attachment 2956758
Like its the first time we are getting an IMF loanBaada ya ku-inject fedha za mkopo wa IMF sio?
Rais wako si alisema hatokopa, sasa imekuweje tena?😎Like its the first time we are getting an IMF loan
Unajua maana ya capital au unaropokwa tu like a primary school dropout.The only world's safari capital, Arusha of course 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 2956824View attachment 2956825View attachment 2956826
Wacha wivu nyoko wewe unataka kuifananisha the World Safari capital na Naipori ya Wakora wa ngeta?Unajua maana ya capital au unaropokwa tu like a primary school dropout.
Zenu mnazokopa mnainject wapi?Baada ya ku-inject fedha za mkopo wa IMF na Eurobond sio?
Kwaiyo unawashangilia wanaume wenzako?Hakuna matokeo yatabadilishwa, mpira firimbi ikilia ndio basi, hakuna kitu hio rufaa itafanya. Machozi yenu yananifurahisha sana, keep crying VIVA mamelodi😭😭😭😭