chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
π«¨Zitatusaidia kwasababu tunadai haki ya wazi tuliodhulumiwa π π π tunataka dunia itambue
Mombasa = Mwanza + Arusha + Zanzibar + DodomaMtwapa, a suburb of Mombasa City. View attachment 2956003
Kilifi county au ni urongooπ€£π€£π€£π€£Mtwapa, a suburb of Mombasa City. View attachment 2956003
So the yardstick for a city is 5 star hotels or you are just picking what you feel Arusha is ahead. What if we also ask if Arusha has a Major Port or beautiful beach resorts etc. Mombasa = Mwanza + Arusha + Zanzibar.Mombasa isiyo na 5 star hotel facility? Unai-compare na Arusha jiji lenye conference facilities na maofisi ya UN, EAC, Aftican courts PSPU e.t.c! BTW comparison ya Mombasa na Zanzibar hamna tena?
Hio Zanzibar pekee inaitoa kamasi Mombasa wachilia mbali hayo mengine π π π πMombasa = Mwanza + Arusha + Zanzibar + Dodoma
Nimekaa mtwapa na asimilia kubwa ya wakaazi wanadhania kwamba wako Mombasa. Ebu leta satellite towns za DAT slumKilifi county au ni urongooπ€£π€£π€£π€£
View attachment 2956129
Na Nina wasiwasi mkubwa hii picha sio ya mtwapa π π π π π
Narudia tena mtwapa haiko Mombasa county na ndio maana 16km from Mombasa CBD unajua ushaimaliza Mombasa imeingia county nyingine π π π π πNimekaa mtwapa na asimilia kubwa ya wakaazi wanadhania kwamba wako Mombasa. Ebu leta satellite towns za DAT slum
Zanzibar ni mbovu, uswazi kila kona Kama dar slum. π«π«Hio Zanzibar pekee inaitoa kamasi Mombasa wachilia mbali hayo mengine π π π π
Hebu leta 16Kms from Mwanza ama Arusha. Ukishindwa basi Italikua hatujakosea kusema Mombasa= mwanza + Arusha + ZanzibarNarudia tena mtwapa haiko Mombasa county na ndio maana 16km from Mombasa CBD unajua ushaimaliza Mombasa imeingia county nyingine π π π π
Mtwapa iko kilifi county na hio picha na wasiwasi sio mtwapa narudia tena hio picha Nina wasiwasi mkubwa sio mtwapa π
Zanzibar ina modern infrastructures, health cares, hotels etc kuliko Mombasa, Mombasa inamaendeleo gani?? Hebu ntajie moja Tu ikiwa mji Una slums kila Kona sijui Bangladesh slum etc π π π hvi ww unafkiri Mombasa mm utanidanganya nn ??Zanzibar ni mbovu, uswazi kila kona Kama dar slum. π«π«
Kutoka mjini mwanza kwenda airport ni 10kmHebu leta 16Kms from Mwanza ama Arusha. Ukishindwa basi Italikua hatujakosea kusema Mombasa= mwanza + Arusha + Zanzibar
Zanzibar yote ni swazi, yaani hio AFCON mutatuletea aibu kubwa Sana na hiko kimji chenu kibovu. Nimekupa ruksa chukua Mwanza na Arusha uzichanganye na Zanzibar tupige battle na MombasaπZanzibar ina modern infrastructures, health cares, hotels etc kuliko Mombasa, Mombasa inamaendeleo gani?? Hebu ntajie moja Tu ikiwa mji Una slums kila Kona sijui Bangladesh slum etc π π π hvi ww unafkiri Mombasa mm utanidanganya nn ??
Wacha maneno mengi, leta towns ambazo zimepakana na Mwanza na arusha. Kama vile Mombasa kuna mtwapa, nitajie equivalence mwanza au Arusha. Nimekupa ruksa pia unaweza ukaleta zilizo zunguka dar slumKutoka mjini mwanza kwenda airport ni 10km
Kutoka mjini kwenda nyegezi bus terminal ni 12km
Kutoka mjini kwenda nyamongolo bus terminal ni 14km
Na hzo ni just infrastructures sio kua umeimaliza mwanza no way π π π π
Nimeshakujibu tayari na Ile picha sio mtwapa narudia kukwambia tena I know very well mtwapa π π π π π πWacha maneno mengi, leta towns ambazo zimepakana na Mwanza na arusha. Kama vile Mombasa kuna mtwapa, nitajie equivalence mwanza au Arusha. Nimekupa ruksa pia unaweza ukaleta zilizo zunguka dar slum
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ πππππZanzibar yote ni swazi, yaani hio AFCON mutatuletea aibu kubwa Sana na hiko kimji chenu kibovu. Nimekupa ruksa chukua Mwanza na Arusha uzichanganye na Zanzibar tupige battle na Mombasaπ
Zanzibar ina modern infrastructures, health cares, hotels etc kuliko Mombasa, Mombasa inamaendeleo gani?? Hebu ntajie moja Tu ikiwa mji Una slums kila Kona sijui Bangladesh slum etc π π π hvi ww unafkiri Mombasa mm utanidanganya nn ??
Wewe mtwapa unaijua yote?? Mahali ambapo kuna wazungu wengi wanaishi panaitwaje?Nimeshakujibu tayari na Ile picha sio mtwapa narudia kukwambia tena I know very well mtwapa π π π π π π
Nakwambia hakuna sehemu ww utanidanganya Ile picha sio ya mtwapa najua unajua nn namaanisha π€£π€£π€£π€£Wewe mtwapa unaijua yote?? Mahali ambapo kuna wazungu wengi wanaishi panaitwaje?
Mzee wa fake life πππ Zanzibar alone is far better compared to Mombasa.So the yardstick for a city is 5 star hotels or you are just picking what you feel Arusha is ahead. What if we also ask if Arusha has a Major Port or beautiful beach resorts etc. Mombasa = Mwanza + Arusha + Zanzibar.