Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na amekaa na viongozi wa Gor mahia bado hajulikani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nimegundua mkenya anakubali kitu kikim favor yeye.
Ila kisipom favor yeye huwa hakikubali kabisa.
Wakenya wazandiki na wabinafsi.
 
Empty talker, Kariakoo yote ipo under construction haka ni kamtaa kamoja tu nilikuepo hapo juzi kati πŸ‘‡View attachment 2955161
mpe na ule mtaa wa sikukuu na ule wa shimoni ajionee nenda mtaa wa masasi na kule agrey hawa wanajifungia kibera ndio shida haya njoo msimbazi ilipokuwa sabasaba na pale sheli ya bigbone
 
How did you know kwamba hapo ni mashambani.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Arusha ni green everywhere. And guess likija suala la majumba ya kitajiri and greenery hata Mombasa haitii pua mbele ya Arusha.
Unaumwa na kinyeo wewe, dar slum yenyewe haisogelei Mombasa ndo taka taka za Arusha zifaulu.
 
Hakuna matokeo yatabadilishwa, mpira firimbi ikilia ndio basi, hakuna kitu hio rufaa itafanya. Machozi yenu yananifurahisha sana, keep crying VIVA mamelodi😭😭😭😭
Ongea fact usiropoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…