Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Hopefully una google earth kwenye device yako, unachotakiwa kufanya ni kuingia na kuitafuta posta then upime mwenyewe, ni assignment nimekupa, ukimaliza urudi na screenshot hapa.. I'm waitingWhat's the size of Posta in square kilometers? Ama ni maneno ya vijiweni as usual?
Na kuna matope yanajiliwaza na kujiweka mbele yao 😂😂😂😂Meanwhile , Cape Town is damn beautiful. View attachment 2954418
You can't even answer a simple question alafu unakuja hapa eti umenipa assignment! Wewe bongolala unaweza nipa assignment?Hopefully una google earth kwenye device yako, unachotakiwa kufanya ni kuingia na kuitafuta posta then upime mwenyewe, ni assignment nimekupa, ukimaliza urudi na screenshot hapa.. I'm waiting
Who are you nisikupe assignment? Nasubir ulete majibu hapa.. kama huna majibu tuliza mahono na jua kwamba Posta is the largest CBD in east Africa..You can't even answer a simple question alafu unakuja hapa eti umenipa assignment! Wewe bongolala unaweza nipa assignment?
Imagine , level moja na Cape Town na hili jalala 😀😀😀Na kuna matope yanajiliwaza na kujiweka mbele yao 😂😂😂😂
Tazama hii video kwa makini unambie umeona nn nyuma ya hayo majengo na ukipata slum au Barabara ina vumbi kwenye video hii mm nafunga ACC SASA hvi 😅😅😅👇👇👇👇👇
View: https://youtu.be/MwTr5hcqyGA?si=xgerzwKDoOpQ4O5-
Mbona tuandike kwa mate wakati wino iko?
Nataka nimsadie kidogoWho are you nisikupe assignment? Nasubir ulete majibu hapa.. kama huna majibu tuliza mahono na jua kwamba Posta is the largest CBD in east Africa..
Picha ya 2012 🤣 🤣 🤣 12 year agoMbona tuandike kwa mate wakati wino iko?
View attachment 2954529View attachment 2954530View attachment 2954531
Hii video ina mwezi mmoja Tu enjoy😅😅👇Mbona tuandike kwa mate wakati wino iko?
View attachment 2954529View attachment 2954530View attachment 2954531
Ndio maana nimewahi kuquestion picha ya @Nixcie kaitoa wapi?