Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GTC ulisema ni render
88 Nairobi ulisema ni render
CBK ulisema ni render
Expressway ulisema ni render
1780 Tower ulisema ni render
Altura ulisema ni render
Who owns GTC mama Ngina au??🤣🤣🤣
who own 88 nairobi Uhuru Kenyatta or??🤣🤣
Who own expressway gachagua or??🤣🤣

Hakuna kitu muta own hakuna never mpaka talanta ni Mali ya mchina 🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna kitu mutajivunia kua ni chenu never na hamuna mradi hata mmoja wa serekali unaendelea Kenya, mumebakia kupiga kelele kama wanawake Malaya Tu

Nchi imeuzwa taratibu na hamuna hata habari 😁😁😁😁😁😁
 
Isue za Buildings tulishapita huko mzee. Kwa sasa tupo na Public Services.
 
Wewe myemen endelea na wimbo wako wa render. Umishabanwa sasa unatafuta pa kutorokea kwa kuuliza umiliki wa majengo yaliyojengwa baada ya wewe kuimba chorus ya render hadi Koo ikakauka na mwishowe zikajengwa.

Kwa hizo miradi ulizotaja, ukionodoa GTC na Expressway, hayo mengine yote zinamilikiwa na wakenya

Nenda kajinyonge sasa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…