Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania tunachokosaga ni muenedelezo wa viongozi wazuri..

Imagine angetoka Nyerere akaja Magufuli, akaja Mkapa au wengepishana.

We are far far ahead kwenye mipango kuliko Kenya...

Wakati Tanzania inajenga Dodoma yote kama Mji mpya kabisa, Kenya wanajenga Mtaa.

Miaka 10 ijayo wanaanza kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…