Yule mjusi Lewis254 ni muda wa kumbana na mlango
Hizi ni multbillions project za manyang'au
KRA inayowagonga kodi mara mbili mbili.Kama tu KRA vs TRA.
Shilling yenyewe inayotegemea mikopo ili ikae sawa 🤣🤣🤣 baada ya 250b ksh haya mkopo mwengine huo 158b ksh na bado mutasema Tu na tutaelewana, nchi imeoza inanuka uvundo wakila aina
Hii itaanza kazi 2026 ?
Ata ifike 110%