Si wana Banbros imekuaje tena, wako matajiri sana kuafford Isuzu.🤣🤣🤣 Hii nchi wallah inalaana kubwa Sana
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1774088745408454731?t=3-gJLERnshnV20DNeqaE0w&s=19
Hii inaonesha jinsi gn Tanzania ni footballing nation, watu wametoka mbali Mbeya, Iringa, Rukwa, Kigoma, bukoba, Kenya, Zambia, Rwanda, Congo, Burundi, Uganda etc alafu unawaambia wasiingie eti uwanja umejaa, hawawezi kukuelewa.Watu wazima wanapigwa viboko na kunusurika kukanyagwa kutokana na maandalizi mabovu... Kuna uhakikisho gani haya mambo hayata shuhudiwa 2027
View: https://twitter.com/PresenterNoah/status/1774328037695222134?t=E1R5aaxGOXfEtizbaptALg&s=19
Tunawashukuru kwa kuja kuchangia Damu na Msaada wenu. 🙏🤣🤣🤣 walisema hawajui haya mashindano
View: https://twitter.com/MiriamMkanaka/status/1774051109985743034?t=klgAIPxNxE7vVffuDjVMCQ&s=19
Google au photoshop 🤣🤣🤣
Work is ongoing on the turf, then terraces and finally on the the exterior. There's a different design of how Kasarani will look like.
View attachment 2949916
Mpumbavu wewe who need your validation, tunaonesha hivyo kwasababu wewe fala ulisema hakuna Kenya anayecare na kwamba hamfatilii.One thing I have realized with Tanzanians is that they are very desperate for validation from Kenyans. NairobiWalker what do you think might be the issue with these neighbors?
Na Alafu anasema sisi tunataka Validation wakati wenyewe ndio wanasema Wakenya hawafatiliiUnajua maumivu yamatoka wapi?
Jana waliandika humu huyo Carol Radull ndio muandishi mkubwa wa michezo, nikaona wacha nipost makusudi hiyo tweet nione vilio, na nimefanikiwa kwenye hilo la kufanya popoma atoe milio. 😂😂😂
Hawa ndio wanataka kuhost AFCON final. 😂 😂 😂 😂
Si mna KDF? Au vipi?Kenya Kuna sehemu mbili huwa zinaface insecurities occassionally. North Eastern sababu ya alshabaab na Baragoi sababu ya Cattle Rustling. Hizi sehemu pia ni name na hazina watu wengi otherwise Kenya is very safe. Ikumbukwe pia Kenya ndio kiongozi wa media freedom hii region kwa hivo unlike nyinyi wenye visa vingi vinakuwa unreported, hapa Kenya hata mtu mmoja akiuawa inakuwa news all over.
Hazina watu wengi so hata hao wachache hamtaki waishi kwa amani? Mzee that's discrimination kwa wananchi kuishi kwenye ardhi ya Kenya.Kenya Kuna sehemu mbili huwa zinaface insecurities occassionally. North Eastern sababu ya alshabaab na Baragoi sababu ya Cattle Rustling. Hizi sehemu pia ni name na hazina watu wengi otherwise Kenya is very safe. Ikumbukwe pia Kenya ndio kiongozi wa media freedom hii region kwa hivo unlike nyinyi wenye visa vingi vinakuwa unreported, hapa Kenya hata mtu mmoja akiuawa inakuwa news all over.
Compare and contrastSio cc ni CAF na FIFA ukawalilie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona tuondoe yet we know how to use it?Ondoeni hizo running track
Visa vya Tanzania vingi havikuangi reported. Your government is known for dscouraging reporting of negative news about your country.Hazina watu wengi so hata hao wachache hamtaki waishi kwa amani? Mzee that's discrimination kwa wananchi kuishi kwenye ardhi ya Kenya.
Visa vingi vyetu unreported from where?
Wacha uongo we m..a.t..k..o. L0Visa vya Tanzania vingi havikuangi reported. Your government is known for dscouraging reporting of negative news about your country.
Hii ni nini mzee.? 😂😂😂 CCM kirumba Unaijua.?
CCM kirumba Unaijua.? 😂😂 Ndio ni fair comparison kwa hiyo kasarani stadiumCompare and contrast
Makwapa Stadium
View attachment 2950097
Kasarani Stadium
View attachment 2950101