Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona upost gorofa moja moja we ****** wako wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , hivyo vi gorofa vingine vidunchu 3-5 floors buildings si ni takataka tu hizo, gorofa za udongo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weka list ya top 10 tallest buildings Upanga nami niweke top 10 tallest Upperhill tuone wapi kuna vidunchu.
 
Weka list ya top 10 tallest buildings Upanga nami niweke top 10 tallest Upperhill tuone wapi kuna vidunchu.
Upanga kuna magorofa zenye urefu wa kati, many buildings ni over 15 floors. Sio hapo upperhill gorofa za urefu wa maana ni tatu au nne tu the rest ni 3-5 floors tena vile vi apartments vya udongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zoom in ujionee halafu upanga ni kubwa kinoma πŸ‘‡hiyo upperhill ni kama ngapi hapo.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
3.2km2 ndio unaita kubwa?
Haya, nipe list ya buildings za over 15 floors hapo Upanga nikupe za Upperhill tuone nani mbabe. Ndio hii area ya Upperhill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…