Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani mwalimu wako wa Photoshop?
 
Nani mwalimu wako wa Photoshop?
We told you this building is empty and unoccupied and you went ahead to explain to us how the facade facing us is a stairwell (that does not require much lighting), that is why we cannot see any light. So, this facade of TPA only has stairwells, no offices and rooms, just stairwells that is why there is no light 👍👍👍. Amazing isn't it?

Na kwanini unachukua picha za wakati wa corona? Ili iweje sasa? Mbona wakenya ni wajinga sana.
 
Na kwanini unachukua picha za wakati wa corona? Ili iweje sasa? Mbona wakenya ni wajinga sana.
Wameshaanza kushift goals sasa 😂. The facade is no longer a stairwell, but rather, the picture is an old photo taken during Corona period 😂. What on that photo proves that it was taken during the Corona period?
 
I have worked as an advanced C.O/Medical officer and my net sallary was 400$
You said your salary was Tsh 800k. How comes tena it’s $400k net?. Huoni unajidanganya?

$400k is not equal to Tsh 800k.
 
I understand your point but don’t put the K in front of the figures… K stands for thousand… I don’t think you made $400k .. maybe you meant $400…
Jamaa anajaribu kucook figures but hazingii. Hata akiweka $400 bado haitakuwa the same na Tsh 800k alisema before.
 
Ni sawa Tu kwasababu pesa anatoa tena mchina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Yani mchina kawakamata hawa kondoo wazungu weusi

Hata hio amahoro rwanda ni westage of money tu
 
Nairobi stadium ndio stadium gani?
 
Na kwanini unachukua picha za wakati wa corona? Ili iweje sasa? Mbona wakenya ni wajinga sana.
Picha gani za Corona? Hii ni picha recent NDINDA aliipost hapa last week hadi ukasema “kama London mwanangu”, sasa ukigundua that those buildings ziko empty unaanza kusema ati sijui Corona. Jinga type.
 
Tatizo lako ni kuwaza kuwa kila building ni apartment. Je umewahi kurogwa?
 
Picha gani za Corona? Hii ni picha recent NDINDA aliipost hapa last week hadi ukasema “kama London mwanangu”, sasa ukigundua that those buildings ziko empty unaanza kusema ati sijui Corona. Jinga type.
😂😂 "Those buildings ziko empty" ni jengo gani na gani mzee kwenye hiyo picha zenye u can clearly see that they are empty.?
 
Hapo wanajenga tuta la Reli ya MGR... Na ndio kituo cha kupandia treni za MGR kitakuwa hapo. Wanahamisha cha pale Kamata. Means pale Kamata inabaki kuwa stesheni kwa ajili ya Train ya Mjini.
Nilisikia ground floor ya terminus mpya ndio itakua stage ya MGR japo sikuona kama itakua sawa kivile, kama wanafanya hivyo ni sawa ila sijui kama watajenga structure itakayoblend na terminus mpya au vipi sababu wasije tia aibu
 
Yes, ground floor ya Tanzanite station ni kwa ajili ya MGR.. The second for SGR the third ni restaurant na lounges..

Ishu kutakuwa na ka mwendo kutoka ground floor kuzifuata rail tracks ambapo ndio train zitakuwa zinasimama ili abiria wapande... Pia njia za train zitakuwa nyingi hapo kuwezesha train kugeuza na parking pia ya behewa..

Hapana render hivyo design yake sijajua watafanya vipi... But hopefully watakuja na kitu kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…