The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
We nawe wachaga ubishi wa kitoto, hapo kuna BRT kama unabisha nitapiga mwenyewe picha cku nikipita hapo au wadau watakupigia picha, Tanzania sio Kenya.Hakuna BRT inajengwa hapa msee,
Kwani you think you have convinced me ama?
Kam uko na proof ilete hapa
View attachment 2941293View attachment 2941294
View attachment 2941292
Ndio utajua mmoja katumia CSS&HTML n.k na mwingine katumia HTML 1 π π π and also color codeawajui pangilia mbwa hawaWhy is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
22. Immigration (Tanzania beautiful - Kenya big zero π€£ π€£ π€£ π€£ )
Tanzania is Very Simple.
View attachment 2940872
Kenya π€£π€£π€£π€£Watu walikula pesa
View attachment 2940873
Ninyi si mnapiga kelele kwa render!?Egypt hakuna uwanja wenye hadhi ya talanta stadium
Kama kuna foldable seats Mkapa ni kwa VIP pekee ingawaje hata hapo nina wasiwasi napo. Otherwise viti vya hapo vya kawaida ni rigid plastic.Elimu Elimu Elimu. Mtu anaongea as if uwanja upo, TUUONE SASA? ushawahi ingia Talanta stadium.
Kwanza nilivyoona hiyo render tu nikajua watafunika kama walivyofunika Amani Stadium.
Usituleteee adjectives nyingi.
Kwanza Mkapa foldable seats zipo.
Wacha kujificha kwa misri. Hamna Mmisri hapa. Tuonyeshe stadium zenu.Ninyi si mnapiga kelele kwa render!?
Uwanja mpya wa Al ahly ambao uko mbioni kujengwa huo hapo chini.
Aya sema Talanta inafikia hapo!?
Una bahati nimefunga kiazi cha rosti na tambi wewe.
Ujifananishe na Egypt kwa viwanja!!??
View attachment 2941624
Hii hapa haya ww tuoneshe yenu π€£π€£π€£Wacha kujificha kwa misri. Hamna Mmisri hapa. Tuonyeshe stadium zenu.
Hizo timu hapo hazizidi 4 ambazo zinaishinda Kenya. South Africa, Bulgaria, Bolivia na Algeriaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 2941093
Nimemjibu mwenzako anayedai kuwa Misri hakuna uwanja unaofikia Talanta.Wacha kujificha kwa misri. Hamna Mmisri hapa. Tuonyeshe stadium zenu.
Kwa sasa hamna ila wakimaliza kujenga kutakuwa nao unaofikia Talanta ila hakutakua na unaopita Talanta. Sasa turudi Bongo, achana na Misri.Nimemjibu mwenzako anayedai kuwa Misri hakuna uwanja unaofikia Talanta.
Tumechoka na turubai la funeral.Huu hapa, daily dose.
Yani ulinganishe Marcopolo na Toyota Hiace? Kichwa chako kiko sawa? Hii ni ligi ya Bukhungu buana. π πTumechoka na turubai la funeral.
Cheki kitu chenye ladhwa hiko.View attachment 2941636
We makalio kweli wewe.Kwa sasa hamna ila wakimaliza kujenga kutakuwa nao unaofikia Talanta ila hakutakua na unaopita Talanta. Sasa turudi Bongo, achana na Misri.
ππππ Aisee talanta haina hata test aiseeYani ulinganishe Marcopolo na Toyota Hiace? Kichwa chako kiko sawa? Hii ni ligi ya Bukhungu buana. π π
Haya, tuonyeshe ya Tanzania sasa.We makalio kweli wewe.
Hivyo viwanja vyote vipo katika ujenzi sasa hivi na hiko kimoja kinaelekea kukamilika
Kwa ufala wako Talanta inafikia hiko kiwanja??
ππππOya muoneni huyu makalio anafananisha Talanta na Cairo new administrative stadium.
Huo wa Cairo unakaribia kukamilika.
UNATAKA NKULETEE VIWANJA VINGINE VYA MISRI VILIVYOIPITA TALANTA!?View attachment 2941639
Sasa umeanza kuchizi. π πππππ Aisee talanta haina hata test aisee
Hata uwanja wa Yanga mzuri kuliko wa Talanta
ππ Kwanini tuandikie mate ingali wino upo?Sasa umeanza kuchizi. π π
Ohh asante kwa render ππππHuu hapa, daily dose.
watu wa mambo makubwa na nchi ya miradi mikubwa wasitusumbue na wasifosi tunanane.