Sioni reli hapo...bado hamna conclusive evidence for any SGR hapo Danganyika.
Hawana lolote ni wivu na povu.ameishiwa ndio maana anatusi tusi
Issue sio msaada au kuwauzia , issue ni kwanini vijana wanashinda CBD Nairobi na baasha za kaki alafu CHAKULA kinatoka TanzaniaNi chakula cha msaada ama ni cha kuwauzia waKenya?
So u mean Kenya is like Europe??even Africa feeds Europe ndugu....πππbut Europe is not LDC
wikipedia again??...u always hate wikepidea let me change that saiSio ni proove inaeleweka hvo 40fl 178m utake usitake ila habari ya kutuambia mlijenga over 30Fl tokea 90s hatutokei nigeria sisi wabongoπππ
View attachment 640535
niletee picha ya SGR tz..plz bro...πππfairy tales ndio mnatuimbia hapa...ujenzi hata haujaanza
Unachange ukweliπππππwikipedia again??...u always hate wikepidea let me change that sai
take a look List of tallest buildings in Tanzania - WikipediaUnachange ukweliπππππ
Munawaza electric wakat deni la mchini hamujalipa na huenda likawachukua 15 yrsππππreli ya fairy tales (hekaya za abunwas) ndio mnaimba imba hapakumbe ujenzi bado
we are still poor yes but what are you? LDC...cha muhimu ni kuwa uchumi wetu wa $75B ni mkubwa kuliko wenu ilhali Kenya ni nchi iliyo kavu na pia ni nchi iliyo na watu wachache kuliko tz
weka screen shot sasaMunawaza electric wakat deni la mchini hamujalipa na huenda likawachukua 15 yrsππππ
So imefurahi kubadilisha ukweliππππ
tulia wacha kulia lia....hapa hamna Times towersπππ, hamna KICC hamna Lornho, hamna I&M...
Badilisha na hio sasaππππaalso changed floors to 35 ..u cant fool us
178 iko wapi?
So hapo zilipo hata 25 hazijafika so kwa hio picha unataka kunambia kuna 5 fl kwenda chini??πππWewe inaonekana mwalimu wako alikua kilaza wa kuokotwa....kwani huoni hapo chini kuna mti unao zuia floor zingine kuonekana?
So ni akili yako upime 35 fl sawa 153m je 40fl???π178 iko wapi?