Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeshaambiwa hiyo barabara inayoonekana kwenye video yako ilishaondolewa sasahiv kunatengenezwa kitu kingine, bado umeng'ang'ania aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Muulize huyu ndugu yako IamLee alikuja Dar juzi kati atakupa majibu
 
Perhaps jane mzalendo huyu
 
Umeanza na kiingereza kingi mwenzako yuko nairobi huko dp imejaa majani utafikiri yupo kolomije

Mchukueni mwenzenu muondoke
Nchi mnajua kukimbia njaa tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Run
Run for your life๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mwai sadifa yuko kunyastan huyo,anadanganya yuko america angalia muda anaokua hapa akileta ushoga wake auendani na time za america,siku nyingi nimemshtukia ila sikutaka kusema hapa maana ataanza kujifanya kwenda na muda wa america while yuko mukuru kwa njenga,sijui anamdanganya nani humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ