Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

COSAFA BEACH SOCCER NI tournament ndogo au sio 🤣🤣🤣 au kwa vile Kenya haimo
Who knows COSAFA? Is it among the top 10,000 tournaments in the world?

Kwanza Tanzania I'm sure wenye wanajua COSAFA hata hawafiki 500.
 
Haya enjoy basi fanyeni tena muzuie isije kuchukua mzigo Nairobi tuone🤣🤣🤣🤣

View: https://youtu.be/pN6biY_1aDo?si=Z7-rgcFyrBdL7uE9
Kiboko ya nini sasa
Angalia difference hapa

Most routes huku kwenu ninlocal na neighboring countries
Congo, Zambia, comoros, zimbabwe burundi, uganda na kenya alafu izo town zenu kama mbeya
International only india UAE and China


Look at KQ, this is a no brainer.
Na the new routes hayajaongezwa huku

 

Attachments

  • b284616fe41d81972ed9630e14e755a7.jpeg
    86.4 KB · Views: 15
Sisi hatuna michezo na kima

Vyombo vya Uchunguzi Nchini Tanzania vinachunguza juu ya Tani zaidi ya 6,000 za Mchele kutoka Marekani unaosadikika kuwa na vinasaba vinavyoweza kupelekea hisia za tendo la Jinsia moja.

Mchele huo umekamatwa asubuhi ya leo 16 Machi 2024 Mkoani Dodoma katika Ghala la Mfanyabiashara Saimon Michiel Edward.
 
Nani asiejua kama 17 aircrafts za kq ni zamikopo na Nani asiejua another 20 aircrafts mumekodisha mashirika mbali mbali na Nani hajui kama kq inamiliki ndege 3 chakavu

Loss iko over 12 yrs inatafuna pesa za wakenya masikini 🤣🤣🤣🤣🤣
Na Bora uwe loss ya kawaida at least, loss yenyewe SASA👇👇👇👇👇


View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1640320177471475714?t=4-npo1C4X09SzBr9-Devcw&s=19
 
This people did their best on horizontal infrastructure. Yani everything done by the book, place ya full stop wanaeka full stop na place ya coma wanaeka coma pia. Hakuna kuchanganya mambo na hakuna mambo ya haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…