Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Upuuzi mtupuπTanzanians do you have any highway that allows for a speed of 120km/h without fearing traffic police and speed detectors?
View: https://twitter.com/observer_youth/status/1768704970860142920?s=19
You don't have such a road in Tanzania where you can drive freely at high speed. Where you can change lanes at high speed and where you are driving without focusing majorly on break pedal but instead only focusing on gas pedal.Yaani hiyo ndio barabara unayotutambia?π
Upuzi gani? Si ulitaka video? Ndio hiyo nimekupatia.πππUpuuzi mtupuπ
Imani potofu unaijua ww ikiwa mzungu anakwambia bila kubali ushoga hupewi msaada wala mikopo bado unataka elimu ya chuo kikuu kujua Adui yako ni Naniπ πImani potofu.Mashoga waliojaa mitaani walikula mchele wa USA?
Japo ni muhimu kuulizawaliopokea Msaada ni Kwa lengo gani hasa? Maana hatuna njaa
Unajitoa ufahamu? Kenya inasumbuliwa na njaa plus Magonjwa ya akili ndio maana mnavuka mpaka kuja kupata tiba Tanzania ππππMko na njaa bwana. Mtapokeaje msaada wa chakula kama hamna njaa.
Na issue sio kuendeleza, issue ni Nani katika Marais wote waliopita alikua anauthubutu wakuanzisha mradi mkubwa kama huo ambao ulipigwa vita na wazungu kwa kutulia kivuli cha UNESCO π π πKila mtu Sasa ameamua kuwa chawa wa mama ,safi sana watakonuna haituhusu ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C4ikYvrqL_k/?igsh=NGN5cG1mc3NjYXY3
View: https://www.instagram.com/reel/C4iqZQTqxdN/?igsh=azZjbmhhajU5dzlw
Kwani anaetakiwa kutoa leseni za kujengwa ni nani?Chawa unaniangusha sana na upeo wako.
Hiv vituo havijengwi na serikali..
Unakuaje chawa na huelewi vitu vidogovidogo kama hiv
Kwani ni lazima bwawa Hilo lingejengwa kupata umeme? Hakuna Cha uthubutu,too expensive than reality.Na issue sio kuendeleza, issue ni Nani katika Marais wote waliopita alikua anauthubutu wakuanzisha mradi mkubwa kama huo ambao ulipigwa vita na wazungu kwa kutulia kivuli cha UNESCO π π π
Mumesahau wakat ujenzi unaanza wazungu walitunyima mikopo na bado UNESCO wakaja juu Sana kua tusijenge bwawa au Leo hii ushasahau π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Uthubutu wa mwamba kujenga bwawa Hilo ambalo liliwashinda viongozi wengi Sana waliopita SASA nashangaa ww Leo unashangaa mradi kuendelezwa na ni lazma mradi uendelezwe sio ombiπ π π
hakuna mtanzania mjinga SASA hvi
Acha ujinga na utoto,Kwa hiyo Tzn ilikuwa inahitaji Mchele huo Ili wewe na wengine muwe Mashoga au?Imani potofu unaijua ww ikiwa mzungu anakwambia bila kubali ushoga hupewi msaada wala mikopo bado unataka elimu ya chuo kikuu kujua Adui yako ni Naniπ π
Wewe kijana inabidi utembee nje kidogo usuuze macho, sio kujifungia hapo kibera na kujiona mjanjaπUpuzi gani? Si ulitaka video? Ndio hiyo nimekupatia.πππ
Hilo bwawa lilikua lijengwe toka kipindi cha mwinyi π π π issue ni uthubutu hata serekali kuhamia dodoma ilitakiwa ianze kipindi cha mwinyi au umesahau bwana ndogoπ π π πKwani ni lazima bwawa Hilo lingejengwa kupata umeme? Hakuna Cha uthubutu,too expensive than reality.
Mimi ningekuwa Rais nisingejenga Hilo bwawa ningefanya option nyingine kabisaa.
Mwisho Samia ndio amefanya kweli,mambo ya uthubutu kwenye bwawa alianzisha Nyerere na yule mhandisi wa Kijerumani bwana Stiglerz, wengine ni uendelezaji tuu akiwemo Magufuli.
View: https://www.instagram.com/p/C4jAFNZMRDp/?igsh=cWpkNTkwcXIweXRv
SASA kama ilikua haiitaji kwann wamepokea?πAcha ujinga na utoto,Kwa hiyo Tzn ilikuwa inahitaji Mchele huo Ili wewe na wengine muwe Mashoga au?
Nje wapi? Hapa tunaongelea Tanzania and it's clearly known that Tanzania doesn't have such roadsWewe kijana inabidi utembee nje kidogo usuuze macho, sio kujifungia hapo kibera na kujiona mjanjaπ
Did you see how they went quiet on that post? No comments πππHizi estate za eastlands ziko na lami zaidi ya 1,000km
Kwahyo kuwa kimya maana yake hatuna majibu au umepuuzwa.?Did you see how they went quiet on that post? No comments πππ
Hilo bwawa lilikua lijengwe toka kipindi cha mwinyi π π π issue ni uthubutu hata serekali kuhamia dodoma ilitakiwa ianze kipindi cha mwinyi au umesahau bwana ndogoπ π π π
Ndio maana hujawai Rais kwasababu ww ni kichaa π π π kuendeleza mradi ni lazma sio ombi
Nyerere alikua na idea hio na alitamani lakini waliofata wote walishindwa akaweza mwamba so kwa SASA hakuna mtanzania mjinga, nimemaliza