Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,368
- 1,006
Kabla ya kifo chake kwanza alienda kwenye ziara mkoani Lindi akaugua akiwa huko baada ya wiki moja machine aliyokuwa nayo kwenye moyo ilionekana haiko sawa na hakuonekana siku kazaa na watu walianza kuhoji yuko wapi coz walizoea kufuatilia kila siku kujua leo atakuwa wapi na atasema nini. I was in Geita region during that period, alienda Chato wakati anarudi alipita eneo nililokuwa (Masumbwe, you can find his last speech) na alikuwa tofauti kabisa na the way we used to know kwenye action zake so we noticed that ni kama alijua he was in his last days. Kipindi anaenda chato haikuwa publicly announced but on his return ilikuwa public ndio alienda Mzena hospital. Kundustan na media za propaganda na wapinzani walianza kuleta uzishi ili wajue yuko wapi na hawakufanikiwa.
Ilikuwa Chato -> Morogoro -> DarKabla ya kifo chake kwanza alienda kwenye ziara mkoani Lindi akaugua akiwa huko baada ya wiki moja machine aliyokuwa nayo kwenye moyo ilionekana haiko sawa na hakuonekana siku kazaa na watu walianza kuhoji yuko wapi coz walizoea kufuatilia kila siku kujua leo atakuwa wapi na atasema nini. I was in Geita region during that period, alienda Chato wakati anarudi alipita eneo nililokuwa (Masumbwe, you can find his last speech) na alikuwa tofauti kabisa na the way we used to know kwenye action zake so we noticed that ni kama alijua he was in his last days. Kipindi anaenda chato haikuwa publicly announced but on his return ilikuwa public ndio alienda Mzena hospital. Kundustan na media za propaganda na wapinzani walianza kuleta uzishi ili wajue yuko wapi na hawakufanikiwa. Try to be smart young boy
My response is still relevant bro. Read it again.I don't think you understand the meaning of the phrase, "I don't know about that". Idiomatically, it means someone is expressing doubt or skepticism of what you said.
Acha kujisumbua na habari za kuokoteza. Mwisho wake utaanza kuokota makopoππ
Bibi titi ni fala sana π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Baada ya kupokea mikopo ya 250b ksh π€£π€£Today it's at ksh 135
Kwa hivyo ni mara ya kwanza tunapokea mikopo? π π π Utalia sana wewe mwarabu bandia.Baada ya kupokea mikopo ya 250b ksh π€£π€£
Nchi inaendeshwa na mikopo π π π
Naona sasa mnakaribia uwanja wa Benjamin MkapaπTalanta Sports City
Work in progress. We shall be here to watch them swallow their tears. π π π π
Naona sasa mumeanza kutoka denial stage. π π πNaona sasa mnakaribia uwanja wa Benjamin Mkapaπ
Hakuna 'denial stage' yoyote hapoπNaona sasa mumeanza kutoka denial stage. π π π
Ameingia bargaining stage huyo. π€£ π€£Naona sasa mumeanza kutoka denial stage. π π π
Lazima kitaeleweka. We shall be here watching them swallow their tears. π πAmeingia bargaining stage huyo. π€£ π€£
Also check out the picture, by its appearance alone does it look like it was taken in 2024?Okay. E series registration in Tz started last year or end of 2022 but not necessarily all vehicles with E reg are 2022/2023 models. So KB series can be 2010-12 but NOT all cars were brand new. Can be 2005,2006,2008 etc.
Wapumbavu sana hawa wanang'ang'ana alienda Kenya kutibiwa na akafa kwa corona.Kabla ya kifo chake kwanza alienda kwenye ziara mkoani Lindi akaugua akiwa huko baada ya wiki moja machine aliyokuwa nayo kwenye moyo ilionekana haiko sawa na hakuonekana siku kazaa na watu walianza kuhoji yuko wapi coz walizoea kufuatilia kila siku kujua leo atakuwa wapi na atasema nini. I was in Geita region during that period, alienda Chato wakati anarudi alipita eneo nililokuwa (Masumbwe, you can find his last speech) na alikuwa tofauti kabisa na the way we used to know kwenye action zake so we noticed that ni kama alijua he was in his last days. Kipindi anaenda chato haikuwa publicly announced but on his return ilikuwa public ndio alienda Mzena hospital. Kundustan na media za propaganda na wapinzani walianza kuleta uzishi ili wajue yuko wapi na hawakufanikiwa.
So logic yako ni kwamba dollar imeshuka kwa sababu ya kupewa mkopo. πππBaada ya kupokea mikopo ya 250b ksh π€£π€£
Nchi inaendeshwa na mikopo π π π